vp serikali ijayo ya chadema ina mpango wa kutoa ajira kwa kila mwananchi au ndo mtawapa mitaji ya bwelele? Ni kipi atatimiziwa na chadema, serikali ya ccm ilichoshindwa kumtimizia???
Alafu haya matumaini hewa mnayojipa(ga) vijana wa ufipa ya kufikiri kuwa serikali itakuwa ikiwagawia pesa za bure saa nyingine natamani sana kuona mabadiriko ya vyama vya upinzani kushika hatamu. Ikibidi mabadiriko yatokee hata kesho ili nicheke kwa kuona maisha yenu yakiwa ni yaleyale yasiyokua na mabadiliko na zaidi zikihitajika jitihada zenu binafsi kuweza kutusua.
Mtu huna elimu kusema utaajiriwa, huna hata asset kusema ukakope mtaji na bado hupendi kuchakalika mwishowe uko busy kwenye keybord kujipa matumaini kuwa maisha yako yatakua mazuri siku chadema ikitawala.... Poleni sana nyote wenye mawazo ya kijinga kama hayo.