Dada anaonyesha kipaji

Dada anaonyesha kipaji

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751

b0d6543d5d1ed11d79ebf672bfc976a9
 
Labda alikuwa anaweka pozi la kupiga picha, mana hata enzi hizo watu walipiga picha na redio ya mkulima hata km ni ya balozi
 
Harafu hii picha ni real bongo ktk vituo vya dart....ningemuona ningempa mshiko... Ni mpiganaji...na anastahili ajiandikishe ktk daftari la wapiga kura ajikomboe na akomboe wenzake katika ugumu wa maisha
 
Vp serikali ijayo ya chadema ina mpango wa kutoa ajira kwa kila mwananchi au ndo mtawapa mitaji ya bwelele? Ni kipi atatimiziwa na chadema, serikali ya ccm ilichoshindwa kumtimizia???

Alafu haya matumaini hewa mnayojipa(ga) vijana wa ufipa ya kufikiri kuwa serikali itakuwa ikiwagawia pesa za bure saa nyingine natamani sana kuona mabadiriko ya vyama vya upinzani kushika hatamu. Ikibidi mabadiriko yatokee hata kesho ili nicheke kwa kuona maisha yenu yakiwa ni yaleyale yasiyokua na mabadiliko na zaidi zikihitajika jitihada zenu binafsi kuweza kutusua.

Mtu huna elimu kusema utaajiriwa, huna hata asset kusema ukakope mtaji na bado hupendi kuchakalika mwishowe uko busy kwenye keybord kujipa matumaini kuwa maisha yako yatakua mazuri siku chadema ikitawala.... poleni sana nyote wenye mawazo ya kijinga kama hayo.
 
Yes hapo ni manzese kabisa...na hiyo picha niliipiga mwenyewe kwa mshangao..na kuipost humi...alikuwa anatokea tip top anaelekea nahisi maeneo ya kagera au ajentina....

Acha uongo wewe hapo ni magomeni Mapipa anaelekea mataa akitokea jangwani picha umepiga lini?
Na picha hii ni mda mrefu kidogo
 
Acha uongo wewe hapo ni magomeni Mapipa anaelekea mataa akitokea jangwani picha umepiga lini?
Na picha hii ni mda mrefu kidogo

Samahani mkuu sipo kwenye mabishano....kama unahisi nimekuongopea basi....muda ni mali...
 
vp serikali ijayo ya chadema ina mpango wa kutoa ajira kwa kila mwananchi au ndo mtawapa mitaji ya bwelele? Ni kipi atatimiziwa na chadema, serikali ya ccm ilichoshindwa kumtimizia???

Alafu haya matumaini hewa mnayojipa(ga) vijana wa ufipa ya kufikiri kuwa serikali itakuwa ikiwagawia pesa za bure saa nyingine natamani sana kuona mabadiriko ya vyama vya upinzani kushika hatamu. Ikibidi mabadiriko yatokee hata kesho ili nicheke kwa kuona maisha yenu yakiwa ni yaleyale yasiyokua na mabadiliko na zaidi zikihitajika jitihada zenu binafsi kuweza kutusua.

Mtu huna elimu kusema utaajiriwa, huna hata asset kusema ukakope mtaji na bado hupendi kuchakalika mwishowe uko busy kwenye keybord kujipa matumaini kuwa maisha yako yatakua mazuri siku chadema ikitawala.... Poleni sana nyote wenye mawazo ya kijinga kama hayo.
@ uaminifukazi ...umetokea wapi wewe...au papet wa ccm...mie si mpenzi wa chama chochote...ninachomaanisha ni mabadiriko kifikra...kama wakenya wanavyoexcel...kwa kuichomoa kanu...kwani elimu ya mtu unaijuaje hapa jf..kwa kuangalia jina...avatar au ???? Anyway..karibu kwenye jukwaa
 
Back
Top Bottom