supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,969
Asante[emoji120]Hata sasa unaweza...
Yaliyopita si ndwele..
Dogo yuko makini kiaina..Mwenzio kesha paniki asije enda kuchanganya mada huko akidhani kweli............
[emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Dogo yuko makini kiaina..
Sijakuelewa umesimamia wapi!Me siwezi.. mpitie ila kuwa makini tu ila Mungu hapendi
Kweli kabisa.Patamu dk chache tu, ila pakikutenda utajuta maisha yako yote.
kwakweli sina mpango naye wowote, amekuja katikati tu, ila bana haya mambo ya mapenzi kizungumkuti, unaweza kujikuta wewe ndo unakuwa teja
Yaani wewe, kilichokushinda mwanzoni ni kitu ganiNingekuwa mimi ningejitunza nisitembee na mwanamke mpk ndoa.
Ni ibilisi tu mkuuYaani wewe, kilichokushinda mwanzoni ni kitu gani
Acha kumsingizia ibilisi hebu muonee huruma hata kidogoNi ibilisi tu mkuu
Sawa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kumsingizia ibilisi hebu muonee huruma hata kidogo
Mkuu tia neno hapa kijana anataka ushauri wako bhanamm napit tu
dah! yaani hapo mkuu ndo umeniacha kabisa
Sawa dada nitafanya hivyo, yaani sasa hivi hata nikimpigia simu sister nimpe hai anampa moja kwa moja mdogo wakeWakati mwingine mapenzi huwa hayajaribiwi, waweza shangaa wewe ndio ukakolea.
Mchunguze uone kama anakufaa, basi akili kumkichwa.