Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Je kama unauziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Kila kitu maamuzi tu. Ila kuwa makini sana. Maana Haya mambo yakupigiwa pande sio ishu
 
Mbona huwa kuna watu wanabahat nzuri katika maisha yao alaf hawajitambui..
Mimi hapo nagaragaza wote nikipataga chance kama hii sifanyi kosa coz baadae nitajilaumu..
 
Mbona suala jepesi tu hilo, unless.........

Mie sijawahi kumfanyia hivyo mdogo wangu.
 
Mbona suala jepesi tu hilo, unless.........

Mie sijawahi kumfanyia hivyo mdogo wangu.
mbona unaongea kwa code, wengine sio wataalamu wa kukonekti doti, halafu hapo kwenye doti doti ungepamalizia
 
Unauziwa mbuzi kwenye gunia wewe,.. shtukaa. Kimbia wala usigeuke nyuma. Utakuja Juta.
 
msinyimane ....imeandikwa [emoji1] mkuuu
 
point
 
mi mbona mazali ya hivo siyapati....usichezee zali la hivo man ....bandua tu ....uskute wanakupima kama nawewe ni Omy dimpoz....
......................[emoji125] dag..mkuu
 
Watu wa karne hii sio wa mchezo mchezo....
Yaani mwanamke umekutana nae Leo halafu jioni unaomba papuchi, wengine mpaka wiki ndio hupewa papuchi,
Kwani hamwezi kukaa nae bila kumuomba papuchi hata miezi mpka mwaka mzima....

Badilikeni wanaume....
wewe umebadilika.......kweli?
aysee,me ningeanza na dada yake kabisa.acha uzembe mkuu,we vp wewe?aargh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…