Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Kamtawanye tu bro ila usisahau kinga usije ukamaliza mwaka vibaya
 
Yaonyesha wewe ni domo zege, acha uyo mwenye mdogo asiye wa nchi hii akusaidie
 
ni rafiki wa dada yangu so na yeye ni dada pia
 
Watu wa karne hii sio wa mchezo mchezo....
Yaani mwanamke umekutana nae Leo halafu jioni unaomba papuchi, wengine mpaka wiki ndio hupewa papuchi,
Kwani hamwezi kukaa nae bila kumuomba papuchi hata miezi mpka mwaka mzima....

Badilikeni wanaume....
 
Mi nasubiria uzi wa marejesho tu hapa maana kuna togwa linakorogwa hapo na mnywaji yupo karibuni kumiminiwa kwenye kikombe.
 
Watu wa karne hii sio wa mchezo mchezo....
Yaani mwanamke umekutana nae Leo halafu jioni unaomba papuchi, wengine mpaka wiki ndio hupewa papuchi,
Kwani hamwezi kukaa nae bila kumuomba papuchi hata miezi mpka mwaka mzima....

Badilikeni wanaume....
kwani wewe unataka uombwe baada ya muda gani? kwangu siku tatu tu zinatosha, inabidi upajue home
 
Usifanye uchafu wa zinaaa, kama unania ya kumuoa muoe 2, kwan hivo heshima ndo itazidi cna kuliko kufanya huo uchafu.
 
Jiangalie mkuu usikute kuna tego umewekewa jimba bovu lije kukuangukia bure.
Fanya uFBI kwanza ukiridhika fanya yako ila usiingie kichwa kichwa
 
Kama una uhakika humpendi, huwazi hata kafuture naye, muache tu pleasee. Kuna watu waliingia ya kutawanya, sasa hivi wao ndo wanatawanywa. Achana nayeeee
 
Jiangalie mkuu usikute kuna tego umewekewa jimba bovu lije kukuangukia bure.
Fanya uFBI kwanza ukiridhika fanya yako ila usiingie kichwa kichwa
duh, nimekuelewa ujue
 
acha ubwege wewe? ndiyo tatizo la vijana walio kosa mafunzo ya wajomba. kuacha kitu kama hiyo ni mwiko mkubwa sana kwa mtoto wa kiume. ukikataa kubali kuhitwa shoga au jogoo awiki.
 
Kama una uhakika humpendi, huwazi hata kafuture naye, muache tu pleasee. Kuna watu waliingia ya kutawanya, sasa hivi wao ndo wanatawanywa. Achana nayeeee
wewe ni mmoja wa watu ninaowaelewaga, ila pale kati patamu
 
Mungu wangu!!!!!

Ndio umeyaleta huku???mbona nilikuamini sana?
Kuanzia leo nisione unaniita dada,na huyu dogo hutamskia tena.
kwa kweli sitokuita dada nitakuita shem au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…