Dada anamuendea mwanaume kwa mganga

Dada anamuendea mwanaume kwa mganga

Hbari zenu wanajamii forum kuna rafiki yangu mmoja yupo katika wakati mgumu sana baada ya x wa boyfriend wake kugoma kukubali matokeo kwamba wameachana kwani mdada analazimisha kuendelea na mwanaume wakati mwanaume tayari ameshapata mpenzi mwingine ambaye ni rafiki yangu na uhusiano ulivunjika zaidi ya miezi sita iliyopita na huu uhusiano mpya unakaribia miezi mitatu hivi ,mbaya zaidi huyo dada aliyeachwa amechukua likizo kazini na ametangaza kwamba anaenda kwao kigoma kuhakikisha anamrudisha mwanaume kwenye himaya yake kwa njia yeyote ile .sasa rafiki yangu amechanganyikiwa maana binafsi yake haamini uchawi ila ana hofu huyo dada huko kwao kaenda kumrudishaje mwanaume ,mawazo yenu jamani ni muhimu isije kawa kaenda kuloga

Asanteni

aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea
 
Hujakutana nao ndio maana wasema hivyo...
Huko Pangani Tanga ukinyooshewa kidole tu, cha moto unaanza kukiona wakati huohuo...

god is my hero bana!
hata wanyooshe miguu
watashindwa watu8!
 
Last edited by a moderator:
Kwani hajui kati ya Mungu na Walozi nani zaidi! Au ndiyo wale wasiojua hata milango ya nyumba za ibada imekaaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom