Dada ana maneno huyu!!!!

kwa ule msosi wa jana mi nilijua hata breakfast hutaitamani tena

Ule nilimaliza yote, nikaona tabu kukusumbua tena ila nilimaliza yote kidogo ning'ate na plate
 
qulaleki... eti raha upewe wewe, halafu mi nijipinde kurudishia nguvu mlizopoteza? ohooo! naandamana na mimi nipewe!!





vibaya sana aisee! la sivyo na mimi nile leo mchana kutwa!
hapo tutaelewana vizuri tu bila shida qulaleki!

Hahahaha bana eeh si uingie jikoni fasta?
 
qulaleki... eti raha upewe wewe, halafu mi nijipinde kurudishia nguvu mlizopoteza? ohooo! naandamana na mimi nipewe!!





vibaya sana aisee! la sivyo na mimi nile leo mchana kutwa!
hapo tutaelewana vizuri tu bila shida qulaleki!

niandalie bwana au unataka nife na njaa mwenzio
 
Bhabha Bhoke nimekuchaaa mbio chana niriwahii kurara sasa rimutu rimoja rikaniambia urikuwa unanitafuta sasa nimewasiri

urikuwa wapi sasa mama bhoke?

urirara wapi chana? eenh?

ntakugecha! toa maeleso ya ghutosha kabhisa!
 
urikuwa wapi sasa mama bhoke?

urirara wapi chana? eenh?

ntakugecha! toa maeleso ya ghutosha kabhisa!

Chana huku kwetu rire rikiwanda ra umeme rirituzimia moto sasa narisimu ririkuwa harina moto na rimtandao naro rikawa rinasumbua nikaamua nijirarie mapema
 
Chana huku kwetu rire rikiwanda ra umeme rirituzimia moto sasa narisimu ririkuwa harina moto na rimtandao naro rikawa rinasumbua nikaamua nijirarie mapema

enheeee!! nimabie ariye kuraria ni nani?

kwanini umechoooka mama bhoke?

unarariwa rariwa hofyo hofyo eenh?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…