Hapo sasa..,.shem wangu huyu namuona sana mitaa flani flani
nimeitika wito kunani hapa?hamna tatizo mamii! nimependa tu uje utupe company hapa! umemuona wapi mimi49 na Honey Faith?
vipi kuna tatizo?
hamna tatizo mamii! nimependa tu uje utupe company hapa! umemuona wapi mimi49 na Honey Faith?
hamna tatizo mamii! nimependa tu uje utupe company hapa! umemuona wapi mimi49 na Honey Faith?
Kama amebeba msosi itakua vyema sana maana hii njaa na mida hii
nimeitika wito kunani hapa?
Ahsante Excel mi mzima!!jamani excel kakumiss tu mamii!
mzima wewe?
Mficha uchi hazai, naskia njaa hatari hebu fanya fanya
Nimejaa tele ka pishi la mchele!!aisee sikuonagi siku hizi! wajichimbia wapi lakini?
Nimejaa tele ka pishi la mchele!!
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:aisee nina togwa limejaa kwenye jagi! karibu tufurahie pamoja mapishi ya kikurya!
Dah asante kwa kunijali maana nilikua sina idea...waiting
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
jamani mimi!! wozap? lolz!
njoo tujishushie mdogo mdogo!!
Kwasababu umepika wewe nitakisifia mpaka unishangae...anagalia tu usiungue your sweet hands