Dada ana maneno huyu!!!!

Hawa chini wanakuwaga wakubwa sana
 
Dinazardeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! njoo huku mama bhoke!!!

kuna mtu anataka kukugecha!! lolz!
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa!! mi nilijua huu ujumbe si wa kawaida...! si unajua kusoma kwingi ni kuchizika eenh?

Hebu nizoomie hiyo avatar yako haka kamchina hakikubali
 
Excel wewe noma, unajua hadi maeneo wanakojifichia?? Kuna mmoja umemtaja hapo sijui kama hua analala

yupi baba? niambie niibue na wengineo? namsubiri Lizzy anipe deni langu qulaleki!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…