Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Nilikuwa baa moja hivi napata kinywaji baridi, jirani nami alikuwepo jamaa mmoja na binti mrembo.
Mara wakaingia jamaa wawili wakaelekea kwenye ile meza ya yule bwana na yule binti, kisha jamaa akafanya utambulisho...huyu ndiyo DEMU wangu.
Binti alimwaga mitusi hadi aibu kisa? Hataki kuitwa demu.
Nawashauri wale wenye tabia ya kuwaita wachumba zao MADEMU waache mara moja wasije yakawakuta kama huyo bwana...kwani nimegundua baadhi ya mabinti hawapendi itwa mademu