Dada ambaye hujaolewa na kaka ambaye hujaoa, unakutana na changamoto zipi katika jamii yako?

mhmm nimepigiwa sana hizi kelele na wazee ndani ya mwezi.
Nimetoa kila sababu awaelewi,mwisho nimewatolea uvivu na kuwambia ukwel.
Wazazi wangu mnataka kuniingiza katika kifungo ambacho bado sijawa na nia ya kuingia kwa sasa.
Baada ya kusema ivyo naona kelele zimepungua.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaa tu single, haina shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
**** jamaa aliniuliza toka umalize chuo una kama mwaka saiv vp una mtoto nikasema sina
Akanipiga jungu akasema mwana unajitunza
Hivi kwanini mkuu kwa hiyo situation inanikutaga sana sijui huwa wanatushangaa wakati huwa ni maamuzi ya mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…