Maradhi yameisha kabla sijamaliza dozi. Hebu come this way bana, acha longolongo mingi.
chondechonde Mzizimkavu ana shift ya usiku huku hospital ya jf.nimekusanya mafile .halafu nurse king'asti tangu aende lunch sijamuona ngoja dr. Riwa atakuja
kwani sipumziki jamani?? umemuona Bishanga anavyotuonea wivu??
Ummu, waweza mwambia huyu Bashaija kwa kimombo? Ofkoz unajua ashomile mpaka kiswahili iz no more reachable....
Dawa za mzizimkavu naona zimekusaidia sasa umekuwa kama una miaka 21.
Dawa za mzizimkavu naona zimekusaidia sasa umekuwa kama una miaka 21.
M.O.I...Dah nawaonea huruma bodaboda!
mmmmmhhhhhh kuanzia lini?