Dactari bigwa wa jf naye abariki mgomo!!!!!!!!!!!

Dactari bigwa wa jf naye abariki mgomo!!!!!!!!!!!

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
2,784
Reaction score
1,317
MziziMkavu aka mziziology ameamua kubariki mgomo jf doctorz kwa members wake kutorudisha fadhila.amejikita sana kwenye magojwa malovee aka mahaba ni mtaalamu sana magojwa hayo ni ukimwi,kisonono,nguvu za kiume lakini nguvu za kike maunjanja yalimuishia mengine utamalizia mwenyewe...............,swali:Je ni halali kwa doctor huyu kugoma na kuwaasha wana jf wakichungulia kaburi?af isitoshe nimeshafanya uchunguzi na kukundua kuna mgonjwa anahitaji Tiba ya kisonono kule na hana msaada. nawakilisha bila chegachega
 
Last edited by a moderator:
mdada uwe unaEDIT kazi yako...chapi kibao...heading mpaka mkiani!...
 
Last edited by a moderator:
chondechonde Mzizimkavu ana shift ya usiku huku hospital ya jf.nimekusanya mafile .halafu nurse king'asti tangu aende lunch sijamuona ngoja dr. Riwa atakuja

wote wamegoma ndungu yangu nenda ukacheki mwenyewe jukwaa lina mgojwa wa kisonono kule na hana doctor
 
Back
Top Bottom