NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,766
- 4,959
Hakuna mechi keshoDabi iko pale pale
Yanga gomeeni muone mnavyopokwa pointi
Yanga hana sababu ya kugoma. Hata akifungwa bado atakuwa anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 2.Dabi iko pale pale
Yanga gomeeni muone mnavyopokwa pointi
Kwa ule uwanja, ulivyo hifazi maji na hadhi ya mechi hii bora wahairishe, wakicheza pale itakuwa mwendo wa kubutua butua.
Leta mada za maana ili isiwe kijiwe cha maanaJF ishakuwa kijiwe cha kahawa