Kweli wazungu wametuchoka jamani, kwa nini hichi kiti asikitengeneze kikiwa na mzungu na si mwafrika!!! Then wakija kwetu Bongo tunawanyeyekea loooh!! Mtanisaidia kuikuza mana nimeshindwa
View attachment 133589
Wakija tunafagia mpaka mabarabara.
nimekugongea LIKE