Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
![]()
hatari sana![]()
Ni mara chache sana kukuta wanaume wawili waliogundua wanatembea na mdada mmoja (sio ndoa ) ile ya kishkaji wakagombana yaani wanaweza itana bar na kupongezana kiroho safi wakala na kitimoto wakapanga na deal za maishahatari sana
Ndo tulivyo mtu anaweza ona tunasapotiana ujinga ila tunaokoa mengi sana



