Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,586
Alijipanga kumsapraizi mwenzie acha asapraiziwe yeye 😂Naunga mkono hoja na siku ingine atajifunza kutoa taarifa kabla,dah utoto raha sana
Sina uzoefu mkuu, huu ushauri nilisoma kwenye gazeti la juzi la mwananchi 😂Nimeupenda uzoefu wako😂
We chizi nani bwege?Leo we bwege Ume tema point 😆🤣
Nakazia mrejesho n muhimuKabisa. Na asisahau kuleta mrejesho.
sana wanazingua, hii ni ishu ndogo sana.Kuna mda wenetu kama hawa wanatuangusha sana
Kengee nusu albino 🤒We chizi nani bwege?
Mshamba mmojaKengee nusu albino 🤒
Kheri uwe mshamba, kuliko nusu albinoMshamba mmoja
Imeandikwa wapiKheri uwe mshamba, kuliko nusu albino
mwanangu wewe unaakili sema haujui tu BONGE LA IDEA sema tu mwana mzembeMwambie na wewe upo kwenye bus unaenda kumsprise huko kwao
Shida shemeji yako, Half american ambaye ni Kaka angu Mimi.Comments zenu na shem zinafurahisha😁😁
Binadamu wa kawaida 3:6Imeandikwa wapi
Huyo ni Mu America😁😁Shida shemeji yako, Half american ambaye ni Kaka angu Mimi.
👉Ana tatizo la unusu albinoo 😃
Tomba halafu pita hiviiiiiDaah! Hongera bro!
Mimi mmoja tu lakini nimeshakuwa heartbroken na sina ham nao!
Mnawezaje aisee?
Ume danganywa😆, Wana familia tuna Juana bhana 🤣.Huyo ni Mu America😁😁