Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Mzee itakua anawapenda sana anahis mkiwa mtateseka sana...itakua nyie ni wavivu hamjazoea mazingira magumu 🤣🤣🤣si Hata ww mwenyewe unaona ulivo ukikerwa unalia
mbona siliagi jamani😂😂.. Halafu sio wavivu basi tu Toka Mababu na mabibi zamani walikua wanaishi hivyo wamerithishana
 
Huyo mmoja nipe pasi nikusaidie kuokoa msala
 
Kesi ndogo sana hiyo. Hapo wa kupangwa ni wa chuo huyo akiwepo hapo atakubana sana anatakiwa kuondoka. Hapo tatizo litabaki ni kwa namna ulikua unaishi nao hapo mwanzo
 
Ahhh ongeza wengine wanne ,jumla wawe Saba,kila siku unajipigia mmoja

We bado kijana,shababi,nguvu za kutosha,kazi nzuri,hela unazo,majumba unayo,usafiri kedekede,imebak kuwajaza tu🤣

Mwambah unafal wapii?
Life is too short badddd🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…