MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,541
- 6,717
Akili ndogo uliyo nayo huchomoki. Una wanawake zaidi ya mmoja halafu wote unawaleta nyumbani au unaruhusu wafahamu unapokaa. Shwa*ni ,πππWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Naunga mkono hoja πWaweke wote humo. Waambie mimi nawapenda nyote. Na siku zote niko nanyi
Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..
Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hiiπ€π€
Genius [emoji115][emoji123]Umeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Hilo suala kwetu halijawahi kuwepo,. Hatakama ni wakiume hawaondoki tu nyumbani with no reasons.. Yaani lazima mawasiliano ya unakoenda yawepo
- Mabinti wa zama hizi ni VICHOMI! Hasa waliosoma au kukaa mijini. Kuna mmoja hivi karibuni kafia ghetto, ndg zake wakajulishwa wakachanga kwenda kubeba mwili. Nina visa kibao, nikiweza nitaanzisha mada.
- Hata huyu anayeomba ushauri ni muhuni aliyepindukia. Yaani anapanga kabisa kukaa na binti wa watu kirahirahisi tu. Dah!
Ashindwe yeyeGenius [emoji115][emoji123]
Kuna mda wenetu kama hawa wanatuangusha sananakazia
Wengi wao walioa wakiwa na umri gani?Nimekua nashuhudia wajomba zangu na kaka zangu wakubwa wanaishi nyumbani hadi walipooa na kupata makazi
Kuanzia 28-30+ hukoππWengi wao walioa wakiwa na umri gani?
Lee kwanini umechekaKuanzia 28-30+ hukoππ
Nimewaza tu sijui umefikiria niniLee kwanini umecheka
99% ya mabinti wa chuo wamepitia haya. Ni sehemu ya maisha na kujitambua kwao!Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
90+% ya mabinti wa chuo wamepitia haya. Ni sehemu ya maisha na kujitambua kwao!Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
Ambaye hajaja mwambie umepata safariWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
28-30 hupaswi kua mazingira ya home, inatakiwa at least uwe umeshaanza harakati za kimaisha.....japo haya mambo nayo yanategemea Mila na familia husika...kwa Mila nlokulia mm mtoto wa kiume ukibalehe Kuna zle privilege kama mwanafamilia zinapunguzwa na Kwa wanaosoma wakienda chuo ndo exit strategy yaoNimewaza tu sijui umefikiria nini
Umalaya tuWakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Aisee!Mimi mwenyewe ndiyo nimekaa chini hapa nawaza nikushauri nini!Mola akutangulie na "macho-marefu" yako.Aaamiiin!Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Kama huna kazi ya kueleweka kwetu huwezi kutoka, Hata kama umeoa na huna shughuli ya maana utaishi nyumbani wewe na huyo mke wako mpaka utakapoweza kujisimamia...28-30 hupaswi kua mazingira ya home, inatakiwa at least uwe umeshaanza harakati za kimaisha.....japo haya mambo nayo yanategemea Mila na familia husika...kwa Mila nlokulia mm mtoto wa kiume ukibalehe Kuna zle privilege kama mwanafamilia zinapunguzwa na Kwa wanaosoma wakienda chuo ndo exit strategy yao
π€£π€£π€£π€£π€£ππNa hapo ameoa ana 30Hata kama umeoa na huna shughuli ya maana utaishi nyumbani wewe na huyo mke wako mpaka utakapoweza kujisimamia...