Daah!!mungu mkubwa

Daah!!mungu mkubwa

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1391530642.583760.jpg
 
Utaalamu tu wa kupiga picha kuku wawili tafauti hao.
 
Kama binadamu huwa wanakuwa mapacha na vaadhi ya pacha hushindwa kugawanyika vizuri na kuwa wameungana wakati wa kuzaliwa na wasipopata msaada huendelea kiishi hivyo hadi wakawa wakubwa, hamjawaji kupata yai lenye viini viwili? Mazao pia hiwa yanatokea yanakuwa pacha mfano nishashuhudia ndizi zikowa pacha yaani zinakuwa 2 zimebanana pamoja, hata nyanya na mahindi yanatokea kuwa pacha. Sasa hujiilizi kama kwenye process ya kuwa pacha ule mgawanyiko usipokamilika maana yake pacha watatoka wameungana, na kama ndivyo basi kuku hawa pia waweza kuwa ni pacha waliofeli kugawanyika hadi mwisho. Japo ni pocha duka ila inawwzekana ikawa ni kuku waliototolewa wakiwa pacha waliofeli kugawanyika sawa. Just thinking outside the box.
 
Back
Top Bottom