Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

Ningekuwa mimi ningepost thread inayohusiana na kitu nyingine badala ya kuomba ushauri kwenye jambo ambalo liko dhahiri maana nongekuwa nimeshafanya uamuzi siku hiyohiyo niliyotafutwa na jibu langu kwake lingekuwa Go to hell bitch
 
Onyesha busara zako kwa kutorudiana naye

Onesha upumbavu wako wa kurejeana naye.

Kama una ukame, tafuna tunda kisha ishi kivyako. Ogopa sana mtu anayeishi kupitia wasemavyo watu. Kama wewe unataka kuishi kwa mawazo yetu endelea naye
 
Aisee ngoja nikupe tips nyepesi next time kwenye meeting ya aina hyo kunakua na vimbwanga vingi, demu anakualikaje sehemu na ww unaenda bila kujiongeza...... Ukipata fursa ya hvo tena usimpe uhakika wa kwenda, vuruga mda mliopanga kukutana mfano alikwambia saa mbili we nenda saa tano, badilisha mazingira mliyokusudia kukutana kabla ya mda mliopanga kukutana.
 
Hakupendi huyo,na amerudi kwaajil ya shida zake Mambo yaki ✔️ anakuacha Tena.
 
jifunze kusamehe,msamehe na endelea nae
 
Hizi tabia nimeona nilivyokuwa chuo, mtu anakuwa na bwana kaja kumtembelea kafikia sehemu kamwita njoo nipo sehemu fulani,kachukuo room nzima watano, mi nikakataa kwenda, wameambiwa agizeni mnavyotaka, wameagiza wakala kurudi wakaanza kumcheka yule bonge la bwana pamoja na huyo mchunaji.[emoji16]
 
We tayari umesema una mpenzi wa Nini.......huyo wa Nini Sasa??? Kiufupi hakufai endelea na uliye nae Sasa.......kakupotezea Muda wako na pesa pia wa nini Sasa????......acha tamaa mweshimu ulikuwa nae Kwanza pisi ziko nyingiii.........

Mkuu mwanamke asikusumbue akili inatakiwa akizingua hata kidogo TU usifikirie Mara mbili piga chinii chukua mwingine.....
 
Mwambie tu awaambie hao mashosti wake wamtafutie bwana anaendana nae.
Demu wa namna hio anaeshikiwa akili na marafiki zake ni wa kupiga chini tu moja kwa moja hamna kugeuka nyuma.
 
Wewe endelea kumega kisela,ataondoka mwenyewe
 
Shida ya slay queen hapo tu sababu ulienda hauna gari ndio kigezo cha kumshawishi vibaya mwenzao

Na yeye alikuwa hakupendi bwana huwezi shauriwa kuhusu mpenzi wako ukayabeba tu na kumwambia muachane

Ila mkuu fanya vile moyo wako unapenda sababu unaonekana unampenda huyo msichana ila kiukweli hakufai na hakupendi
 
Kama unampenda msamehe mrudiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…