Daah! hawa wazee wetu watuonee huruma

Daah! hawa wazee wetu watuonee huruma

Haohao wazee wenyee bib zetu waliwavuta tu mikono mahali kindama kimoja na mkuki ambavyo kwa gharama ya leo havizidi laki afu leo wanakomaa kweli, ukijifanya kufwata protocol mtaji wote wa maisha utaishia kutoa mahari
 
Mbona ndogo sana iyo, gharama za maisha zimepanda. Mdogo wangu tumechukua 4.7M mwezi wa 12.
 
Jamanii wazee wetu tupunguzie mahali vijana tunataka kuoa,sasa mzee unaponiambia mahali Milion 2.5 si sawa na kuniuzia mwanao huku atakula nini? Au ndio kunikomoa

Umenipa wakati mgumu sana kuelewa........
 
Back
Top Bottom