Daaah, Wale Vimwana WA Ghadafi?

Daaah, Wale Vimwana WA Ghadafi?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,176
Reaction score
682
Kweli la kuvunda halina ubani. Wale warembo (bodyguards) wa Muhuni almarehm Ghadafi sa'hivi watakuwa wanasasambua. jamaa alikuwa anawawekea usiku sana.. ngoja wajilie maraha..
 
women101207_468x392.jpg
 
At least we have on less mad dog in Africa...
 
Kweli la kuvunda halina ubani. Wale warembo (bodyguards) wa Muhuni almarehm Ghadafi sa'hivi watakuwa wanasasambua. jamaa alikuwa anawawekea usiku sana.. ngoja wajilie maraha..
Wale waasi sasa wanajitafunia tu.
 
Nilikuwa najiuliza sana siku zote wakati vita inaendelea hawa wadada walikuwa wanapigana au walikuwa wapi, let me know plz, wako wapi hao masista duu
 
Weew jamaa alijipenda je walikuwa wapi hao walinzi pale walipokuwa vijana wanamsodomaizi kwa zamu
 
Back
Top Bottom