Hawa jamaa noma kwa rushwa kila siku nilikua naskia tu sasa najionea mwenyewa, nilienda makao makuu pale zanzibar jamaa wa dirishani wakaona naomba Pass port ya biashara baada ya kukagua maombi yangu nikafunga finger print fresh nikaambia nenda baada ya wiki mbili wiki ya pili wakanambia lete cheti original cha mama nikapeleka nilipofika jaama akanambia huyo kakosea lete id ya mama nikapeleka kufika wakanambia bado barua ya mwenye leseni nikawapa nilikua nayo kwenye mkoba mara jamaa kenda karudi ananambia bado id ya mwenye leseni nilichoka