Nadhani ni jamaa mmoja humu JF ambaye anauza jicho la tatu.Mkuu who is Da Pippy
Vijana mbona siku hizi wanajifungulia tu jicho la tatu mitaani mkuu.Oooh! hili mamedtitionist si ndio hua wanalifungua, sasa yeye yakuuza ameyafungua sangapi?
cc. Rakims
Duh! ndio lipi hilo mkuu!Vijana mbona siku hizi wanajifungulia tu jicho la tatu mitaani mkuu.
Siyo hilo la akina rakims.
Mkuu hujui? 🤣Duh! ndio lipi hilo mkuu!
Indeed mkuu!Mkuu hujui?
Watu wakisema mtu amefungua jicho la tatu maana yake ni anakalia paipu.Indeed mkuu!
Ehe! eh! eh! au basi..... tu! tuishie hapa!!!Watu wakisema mtu amefungua jicho la tatu maana yake ni anakalia paipu.
Mkuu vp mwezi wa 9 ndio huu vp! mbona hatuoni thread!STORI HII INAFUNZA
Siku moja nilikuwa nakula embe ghafla nikaona funza.
Kama nilivosema kuwa stori hii inafunza
Ni ngori!Ehe! eh! eh! au basi..... tu! tuishie hapa!!!
Una Kuta alie andika habari hii ni mwanaume na kende zake mbili zinazo ning'inia kumbe ngese1. PONGEZI.
Napenda kukupongeza Kwa kuwa kioo Cha jamii. (Wazee,vijana na watoto pia)
2. USHAURI.
Wasihi vijana/watoto wajikite zaidi "kuzingatia masomo" kupitia sm badala ya Yale mambo yako (ya kuburudisha moyo na kuondoa stress) 😂😁🤣 !!!
Unaweza kutengeneza kipindi au kuzunguka mashuleni (hasa sek.) na kutoa USHAURI na UNASIHI juu ya athari za mimba za utotoni,matumizi ya madawa ya kulevya,uasherati ,Utoro nk. Kwani Kwa uzoefu wako "umeona na umeshuhudia mengi yaliyofichikana katika mazingira halisi.
Ni hayo tu Kwa Leo,
Da Pippy,NISHUSHE.
SoonMkuu vp mwezi wa 9 ndio huu vp! mbona hatuoni thread!