da! Ebwana Darasa we noumaaaaaaaa!!!!!!!!!!.

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
285
huyu msanii darasa anatisha vibaya sana namkubali mno.na tena ngoma yake hii mpya ya nishike mkono ndo ananikosha kabisaaa.na we msanii yupi unamkubali
 
Darasa ni noma,ile ngoma yake sikati tamaa nimeikubali
 
ebwana ukisikia na hii mpya ya nishke mkono utakubal mshkaj anaweza gemu
 
Darasa?
Kweli majina yamekwisha huko tunakokwenda sitashangaa msanii akijiita KINYESI
 
Darasa?
Kweli majina yamekwisha huko tunakokwenda sitashangaa msanii akijiita KINYESI

Mbona walishajiita siku nyiingi, ika dogo yuko safi sana kwenye muziki wake
 
Wasanii naowakubali ktk HipHop ni Stereo na One Incredible Ngoma zao zote hau-skip unasikiza mwanzo mwenga!! Na rnb Ben pol na Rama D wengine wanabahatishaga tu ngoma moja moja!
 
Wasanii naowakubali ktk HipHop ni Stereo na One Incredible Ngoma zao zote hau-skip unasikiza mwanzo mwenga!! Na rnb Ben pol na Rama D wengine wanabahatishaga tu ngoma moja moja!

hapo kwenye rnb nimekubali lkn hip hop sina imani nao darasa anabamba!
 
one incredible ni mkal ila hana zali anajulikana kwa wachache.ila hawa washkaj darasa,stereo washkj nyota zao zinashine mbaya.
 
one incredible ni mkal ila hana zali anajulikana kwa wachache.ila hawa washkaj darasa,stereo washkj nyota zao zinashine mbaya.

One ni mkali kuliko neno mkali lenyewe jamaa anajua sema hana zali kama jmo
 
one incredible ni mkal ila hana zali anajulikana kwa wachache.ila hawa washkaj darasa,stereo washkj nyota zao zinashine mbaya.

nini kipimo cha kutokuwa na zari??one umsikii kwa sababu ataki kutumika.....ndio tatizo la nyinyi watoto mnalishwa tu hamjui ata kinachoendelea,Niki mbishi ulimsikia sana hapo nyuma je leo unamsikia kwenye redio yenu?au unasikia nyimbo za mlab watamaduni zikichezwa??kwa nini uzisikiii??kwa nini usikiii ata neno Duke limekuwa zambi kutamkwa na jamaa wa hapo?...kwa nini stereo kakimbia tamaduni na nyimbo zake sasa zinagongwa na jamaa??.pamoja na yote ukweli unajulikana. ata uwaunganishe stamina,roma,darasa na lolpop mcs wote hawafikii uwezo wa ONE.

katika kizazi cha sasa baada ya Hashimu dogo hakuna mc mkali kuwai kutokea kama ONE the Incredible.ameibadilisha sana game ya hiphop kila mtu sasa anataka kuchana kama One,kitu ambacho ni kikubwa sana kwa msanii mchanga kama yeye kuwa inspaya wachanaji wengi.
 
ts true mshkaj kabadil game vya kutosh lakin uoni ya kwamba one atakuja kuacha game kisa mziki anaofanya ni kama anajifurahisha.coz hapat show,no airtime.so utakubaliana na mimi kuwa one hana zali coz hawez kuchukiwa na media mbal2.muzki anaweza ila hana zali kama jaymoe&solo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…