Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Donald Trump!
Ndiyo, Kuna mama anaitwa Katie Johnson (34) amemfungulia mashitaka D.Trump huko Jimbo la California ,,USA baby" kwamba alimbaka wakati akiwa kijana wa umri wa miaka 13, na amekwenda mbali zaidi kwamba D.Trump ndiye aliyemtoa bikira yake kwa kumbaka!
Sasa sijui hapa D.Trump atachomoa vipi, hao ndiyo Wazungu bhana wakikushindwa kabisa basi ujue ni lazima wakutoboe na risasi, hivyo D.Trump watamtupa lupango kama walivyomfanyia Bill Cosby!
Sasa unajiuliza kwa nini leo hii? Mtu aliyebakwa atasubiri miaka zaidi ya 20 kuja kushitaki kwenye nchi inayojiita ya kidemokrasia yenye bill of rights na sijui freedom of speech na takataka nyingine zote???!
Halafu kuna watu huwa wanashinda hapa kutupa Elimu kuhusu Demokrasia ya Wazungu kumbe masikini ya Mungu Wazungu wala hawawaelewi, na ukweli ni kwamba Wazungu hawana demokrasia wala nini na kila kitu ni cosmetic tu!