Nimemuona aisee.ila kuna moja ya video yake hataree piaa
anacheza yuko mtupu hadi kawin hiyo competition
Kila mtu anakipaji chake maishani. Ila wengi wetu hawatumii fursa walizonazo ndio sababu wanakufa maskini, kuishia kulalamika tuu na kuendekeza maungu!
Tumia kipaji chako...
Hapana chezeiya watu walioumbwa early monday morning!! Simply beautiful, looool!
Hivi kucheza uchi nacho kipajieee..[/QUO
Modelling is institutionalized high class prostitution!!! Hao ni malaya wa bei mbaya!!!
Hivi kucheza uchi nacho kipajieee..
ni Mcuteeee
ha ha ha mizinga hio uwiiiii!aisee huyu dada nampenda sana nikirudi lazima nimtafute japo kwa siku moja.
Nalog off
mdada mashallah! tumshukuru Mwenyezi Mungu na kumtukuza kwa uumbaji wake...!
Huyu binti ni mnyalu nini kwani hilo jina kama la huko kwa wala mbwa!!!
Jaribu uone kama ni kazi rahisi mkuu!
ha ha ha mizinga hio uwiiiii!
Kazi kwako
Ungefanyaje?
Yeah I saw her......She can do anything for Money