mkuu alikua deported baada ya kupiga mipunga flani hivi ye na bwana wake Richard Mziray ndio wakarudi bongo kuseto na kufunga ndoa. Saivi wanaishi Mbezi Beach huku.
Too much make up na huu wanja wa sina bwana siupendii...Sijui wadada wanaupendea nini hata haupendezi wallahi!!Why does anyone need false lashes? atleast zikaribie reality basi...hapo kila mtu anajua kabandika makopeee:confused2: