Cynthia Masasi: Basi sawaaa...!!!

Status
Not open for further replies.
kwa kweli watoto wako bomba jamani ni bora wangekuwa wanapelekwa miss world kuliko hao wanaoendaga
 
Last time I saw her was in California she working for Playboy.
you can Google Ida Ljungqvist

Nimemuona aisee.ila kuna moja ya video yake hataree piaa

anacheza yuko mtupu hadi kawin hiyo competition
 
Cleopatra malkia wa bongo. Hayuko kama wale bongo movies wa mwananyamala
 
Hapana mkuu...huyo dada anaishi mbele huko (USA) na shughuli zake anafanya huko huko ingawaje hapa Bongo huwa anakuja kufanya fujo kidogo...
mkuu alikua deported baada ya kupiga mipunga flani hivi ye na bwana wake Richard Mziray ndio wakarudi bongo kuseto na kufunga ndoa. Saivi wanaishi Mbezi Beach huku.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…