Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,263
- 105,427
Mwenzio ndo kayaona magumu hivyo lol!
Maswali si magumu hivyo. Ila kwa mtu ambaye si muwazi kama ambaye ana ulterior motive, yanaweza kuwa magumu.
Either huyu mbunge ni simpleton type ya kujitutumua kuandika kiingereza ili aonekane anajua sana, na hivyo kusahau hata ukweli kwamba anaowaandikia wengi hawajui kiingereza na kwa kuandika kiingereza anazorotesha mawasiliano.
Au lengo lake si kuwaandikia Watanzania masikini kama anavyojifaragua.
Both of these scenarios are impalatable. The first gives a picture of an attention seeking trained ignoramus.
The second is a manipulative psychopath as one member already said.
Kuna watu wako vijijini wana access ya internet na printer, ikija post nzuri wanaweza hata kui print na kusambaza kwa wanavijiji wajisomee.
Sasa huko vijijini kwenye abject poverty mtu anaweza kui print hii piece akasambaza kwa wananchi wahusika kabisa? Si kejeli hizi?