Cycles of powerlessness: How can we improve the health system?

Mheshimiwa, ukiwa miongoni mwa wachache waliomo kwenye vyombo ambavyo vinaweza kuleta mabadiliko tunayofikiria kama watu waliomo wakitaka, upi mchango wako katika kuboresha huduma za afya ndani ya nchi yetu leo. Tumekuwa wapiga hadithi sana...tungependa kusikia vitendo zaidi ya maneno.
Hii ni hoja pana, nitaandaa mada inayohusiana na hili swali lako la kutoa mawazo yangu.

Ila kwa haraka haraka tu ni kwamba tunahitaji kuongeza bajeti ya afya, kuongeza idadi ya wafanyakazi, kwa maana ya kuajiri wanaohitimu kwa kasi kubwa zaidi, maana leo hii wanahitimu mf madaktari 700 kwa mwaka lakini wanaoajiriwa na serikali ni chini ya 100, sasa tunapiga hatua mbele ama tuko pale pale? Pia tunahitaji kufanya jitihada za kuboresha mazingira ya kazini, mahospitalini kwa kuhakikisha vifaa na madawa yanapatikana muda wote hadi ngazi ya zahanati... tunahitaji ku-accelerate MMAM ... kumbuka ilani ya uchaguzi ya CCM ilitaka tuwe tumejenga vituo vya afya 11,000 kufikia 2015 lakini leo hii tumeongeza vituo 78 tu kufikia 2010/11 making a total of health center to around 6500, je tutafika?

Tupunguze utegemezi wa bajeti yetu kwa wafadhili...leo hii mchango wa JMT kwenye bajeti ya afya ni les than 40%, zaidi ya asilimia 65 ni wafadhili....hii inakwenda upside down na general budget ya serikali ambapo tunatoa zaidi ya 68% na wafadhili ni hiyo 32/35% inayobaki...
 
Mkuu, nimeona unasema ulikua uki-conduct research.
As a researcher, unaweza kutupa scientific articles ulizo wahi kutoa
zenye kuhusiana na changamoto hizo? written for a scientific audience?

Pia, kila mtu hapa JF anaweza kukupa true story itakayo kusikitisha
Wewe kama representative wa watu, na Social Justice Acticivist
Doctor, MD, MPH, MBA, na mengine yote, unafanya nini kubadili hali yetu?
Actions for the poor? Any concrete initiative to date?

Mwali, kama sijakosea, na wewe umesema kuwa ni social justice activist. Mpaka sasa umeshafanya nini kubadili hali iliyopo?
 
Mwali, kuna tafiti nyingi nilizofanya, lakini zaidi nimekuwa nikiandika ripoti zenye ushauri kwa wateja wangu, as a consultant, lakini I have some few published papers acha nikupe some titles hapa, nitaendelea kukuandalia nyingine, do you want some of my reports too? Pia note, hata hii article na nyingine nyingi niliandika kwa inspiration ya utafiti niliokuwa nimeufanya wakati ule:

  1. HIV priorities and health distributions in a rural region in Tanzania: a qualitative study.
Johansson, Kjell Arne; Miljeteig, Ingrid; Kigwangalla, Hamisi; Norheim, Ole Frithjof. Journal of Medical Ethics. 37 (4): 221 – 6; 2011 April

  1. The association between family health status and child injury in a sample of African children.
[My paper]Michael L Wilson, Marie Hasselberg, Hamisi A Kigwangalla, Bernice L Boursiquot, Lucie Laflamme
Int J Inj Contr Saf Promot. 2011 Nov 4;:

  1. Child burn injury in Dar es salaam, Tanzania: Results from a community survey.
Iwona M. Roman; Erin R. Lewis; Hamisi A. Kigwangalla and Michael L. Wilson. International Journal of Injury Cntrol and safety promotion. 2011, 1 – 5, iFirst Article
 
Mwali na wengine mnaomkaba koo Hamisi, ili kufanya majadiliano ya kweli tokeni kwa majina yenu halisi; sio kuponda nyuma ya mgongo wa anonymous wakati hamjawahi fanya hata chembe ya jambo la jamii zaidi ya kukaa nyuma ya key boards.
Freema, mimi ni member tu wa kawaida. Sio rep wa mtu wowote
Mkuu hapa anawakilisha population, na kaamua kujitokeza kwa jina halisi
Pia ameweka researches zake wazi hapa ili tujadili pamoja nae.
sioni kwa nini natakiwa kuja kwa jina halisi, ujuzi halisi unatosha.

Sasa sijui wewe unamsemea kama nani, maana yeye mwenyewe
hajaonekana kuboreka na maswali yangu (amemjibu Kiranga lakini)
Kama huna interest na tunayo jadili hapa kaa pembeni
Na kama interest yako kwa mkuu ni tofauti na articles zake
Basi mwalike mkanywe chai. Hahahahaha
 
Mimi sio social Justice activist, labda unikumbushe nilikudanganya wapi :wink2:
Na nimependa article ya Mkuu sababu inagusia maswala of interest kwangu
Pia mimi sina power ya MP, siwakilishi mtu, na siwezi ku-influence policies
Ndio maana nilitaka kujua, from a direct source hapa,
ni namna gani anatumia hiyo power alopewa na hao hao watu wanao teseka
 
Asante mkuu, nitasoma halafu nitarudi na maswali kadhaa
ili tuendelee reasoning further, if you don't mind.
 
Mimi sio social Justice activist, labda unikumbushe nilikudanganya wapi :wink2:
Na nimependa article ya Mkuu sababu inagusia maswala of interest kwangu
Pia mimi sina power ya MP, siwakilishi mtu, na siwezi ku-influence policies
Ndio maana nilitaka kujua, from a direct source hapa,
ni namna gani anatumia hiyo power alopewa na hao hao watu wanao teseka

Nilisoma mahali lakini inawezekana nimekosea. Ningekuwa na muda ningefukunyua lakini bahati mbaya sina muda huo. Lakini madhali umesema siye, basi hamna neno.
 
Freema, mimi ni member tu wa kawaida. Sio rep wa mtu wowote
Mkuu hapa anawakilisha population, na kaamua kujitokeza kwa jina halisi
Pia ameweka researches zake wazi hapa ili tujadili pamoja nae.
sioni kwa nini natakiwa kuja kwa jina halisi, ujuzi halisi unatosha.

Sasa sijui wewe unamsemea kama nani, maana yeye mwenyewe
hajaonekana kuboreka na maswali yangu (amemjibu Kiranga lakini)
Kama huna interest na tunayo jadili hapa kaa pembeni
Na kama interest yako kwa mkuu ni tofauti na articles zake
Basi mwalike mkanywe chai. Hahahahaha

1. Huna moral high ground kumdiscredit mawazo ha Hamisi ukiwa anonymous.

2. Kama huwezi kujadili namba 1, kaa pembeni kama unavyotaka nifanye mimi.

3. Hayo mambo ya chai unayoyaleta yanaonyesha uzoefu wako katika mambo ya taarab. Simo.
 
  1. Kama angetaka article hii ijadiliwe kwa msingi wa moral high ground angeipeleka kwenye scientific magazine
  2. Alijua sana kua hapa JF watu wote ni anonymous ila alichagua kuileta ili tujadili
  3. Mambo ya chai alianza Mwalimu Nyerere, na mimi namuona kama Social Justice Activist, so nukuu yake inahusika :)
 
Nilisoma mahali lakini inawezekana nimekosea. Ningekuwa na muda ningefukunyua lakini bahati mbaya sina muda huo. Lakini madhali umesema siye, basi hamna neno.
It is a field of interest to me, and I am working on something a bit similar
but I wouldn't call myself a social activist, I am not that 'active'
Na ndio maana nimefurahi kukutana na mtu ambae ni scholar, MP, tena social activist,
Pia he is in the health sector, ambayo ni moja ya fields za social injustices
 
Wewe hilo ni jina lako mkuu?

Kwa nini munapenda kuwa wasemaji wa watu? yeye kajitokeza hadharani kwa jina lake na kwa mapenzi yake binafsi na ka ma kiongozi, mtafiti n. k

Ataje publications alizokwisha toa, atueleze kama kiongozi ambaye ni jukumu lake kuisimamia serikali amisha move motion hii mbali kiasi gani? Na ni kwa nini wabunge wengi wa CCM huwa wanadhani kwa kudhamiria au kupitiwa kwamba wao ni sehemu ya Serikali na kusahau jukumu lao kikatiba suala linalopelekea hata kunapokuwa na mijadala ya msingi Afya ikiwemo wanaishia kutetea na kupitisha kwa mbwembwe vibajeti kiduchu kabisa katika sekta muhimu kama hizi..

Ifike mahali tuache kujipendekeza na kuosha vinywa vya wanasiasa wawe wa CCM, CDM n.k

Muacheni ajibu masuala ya msingi anayoulizwa kwani NYANI ni jina la NN?:crazy:
Mwali na wengine mnaomkaba koo Hamisi, ili kufanya majadiliano ya kweli tokeni kwa majina yenu halisi; sio kuponda nyuma ya mgongo wa anonymous wakati hamjawahi fanya hata chembe ya jambo la jamii zaidi ya kukaa nyuma ya key boards.
 
Hii hadithi ya huyu Kigwangwala ni moja ya matukio yanayotokea kila siku hapa Tanzania. Wote tunajua. Ni hayo ni matokeo ya mfumo mbovu wa kisiasa ambao umezaa serikali legelege na watumishi corrupt. Waliotuongoza kufikia hali hii ndio eti wanataka sasa kujifanya kuandika hizi stories ki-riwaya riwaya ili ku-raise attention ya donors. Huyu aliyetufikisha hapa hawezi kamwe kutuondoa. Wakae pembeni ili wengine warekebishe...
 
By Dr. Hamisi Kigwangalla

These barriers reflect the obstacles to achieving health equity for women and children in Tanzania. The fact that about 80 percent of Tanzanians live in rural areas, and that more than half of all births occur outside health facilities, compels a strong case towards reforming the health system. We must target improvements in primary health care in order to improve the security of the poor majority living in rural areas. The Government should direct more resources to strengthening primary health care services bringing them closer to the people. Will the budget that is going to be tabled next month in Parliament reflect this?

Dr. Hamisi Kigwangalla is an independent public health consultant and social justice activist. Call 0715636963 or Email
image.png

The problem is with people like you......a TRAINED DOCTOR....leaving your career to go and mingle with the likes of Maji Marefu
 
Back
Top Bottom