Kama huna kifua unatakiwa kwenye hii mitandao upite kimya kimya...te te te...
Ha ha ha siwezi kuwa bullied mtandaoni...si najitoa tu...ha ha ha...
Ila kabla sijatoka nakupa za uso kwanza nikupime nguvu...unaweza kuwa kidagaa tu....
Wengi wanaolia kuwa ni victims wao ndio attention seekers...
wanajianika issue zao mitandaoni...wakija wanaojua dark side zao ndio inaanza kuwa issue...ukijianika uwe na kifua...
Na kama ndio lengo la thread..basi nayo inachofanya ni bullying...lol
Santee! njoo pm nikupe zawadi yako kwa kuifanya jumapili iende vizuri.
Facebook ilivyotoka tulizinguana huko mpaka tunatafuta mtaani,heri ya mitandaoni yangekuwa yanaisha mitandao but zinakuja mpaka in real life huko mtaani
haaaa...mimi facebook niko very quite...sehemu ambako najua kila kitu ni cha kweli...sianiki issue zangu kivile...zaidi ya picha za watu muhimu maishani mwangu siandikagi story yoyote...
Hata picha zangu ni zile za staa tu maana unaweza kushushwa thamani sababu ya appearance..
Navaa nguo za kila aina mitaani..lakini ikija kwenye picha ya ku share FB siweki picha za mapaja au zozote zilizo sexy...wasije dhania natafuta attention wakati am not available...
Imagine watu wana comment 'you look sexy'...na mumeo anasoma...inahuuuu...
Tatizo hizi teams kwenye mitandao imezidi,I'm telling you just wait hii team kajala na wema itakuja kusababisha mengine
Hakuna mtu alokuwa bullyied kwenye hii thread!Hakuna alozushiwa kitu wala kusambazwa!Au dhumuni la thread halipo clear?
ha ha ha na kuna watu wana mitusi kweli kweli...lakini bado wanapokea likes from like minded members...
Huwa nashindwa kuwashangaa....ila nimeshajua humu kuna teams kama za mitandao ya kitoto...si JF MMU ya those days...
Hizo timu za JF ndo zipi? Manake si wengine hata hatuzijui. Au ziko active huko kwenye PM?
Halafu humu ambapo tunatumia majina feki na wengine hata watu ambao tunawasiliana nao kupitia PM tunawapa majina feki, vipi mtu atakunyanyasa kwa jina feki?
Kama mtu humjui hata chembe naye hakujui zaidi ya jina feki la humu, ataweza kweli kukunyanyasa? Kwa mfano, mtu ataanzia wapi kuninyanyasa mimi bila za ammo za ukweli?
Sana sana ataishia kusema (na pengine hata kuamini) mambo ya uongo kabisa - kama NN ni mzee, NN sijui hivi, NN vile.....na hakuna hata kimoja kilicho na chembe ya ukweli. Watabaki ku guess guess tu na kusadiki mambo. I love it that way.
Sasa hiyo nayo inahesabika kuwa ni cyber-bullying? Mimi sidhani.
Na ndiyo maana wengine humu tuko way ahead of the curve. Never give out your 'real you' kwa watu unaozoeana nao humu kwa sababu kwa kufanya hivyo ni kuwapa fimbo za kukuchapia.
Mimi humu nina uhakika kabisa tena wa asilimia 110 hakuna anayenijua na hivyo siwezi kabisa kuwa bullied.
Kumbe kweli!! hahahaha!! nitapeleka kesi kwa waziri wa elimu.
ha ha ha na kuna watu wana mitusi kweli kweli...lakini bado wanapokea likes from like minded members...
Huwa nashindwa kuwashangaa....ila nimeshajua humu kuna teams kama za mitandao ya kitoto...si JF MMU ya those days...
he he he, si nilikwambia nakujua? Unabisha?
Wewe hunijui?🙂
ila kuna siku ulinichekesha sana.
he he he, si nilikwambia nakujua? Unabisha? Wewe hunijui?🙂 ila kuna siku ulinichekesha sana.
Wee acha tu, team hazina maana kabisa. Naona vijana hawakujifunza kwa akina 2pac na BIG.
Leo nimesikia kuna blogger mmoja wa TZ kavamiwa na sijui team kajala sijui wema. Hadi wameanza kuvamiana, wasipoangalia watatiana vilema.
Afu nikiangalia wanaowaendesh Wema.na Kajala, nabaki tu, really? Inawezekanaje?
Tena lilimuuma sana watu kuweka umri wake hadharani, miaka 55+ sio mchezo, keshastaafu.ha ha ha...Nyani Ngabu katika uzushi uliomuuma ni wa kuambiwa mzee...lol
ha ha ha ...uzee mwisho Msata...
Wee acha tu, team hazina maana kabisa. Naona vijana hawakujifunza kwa akina 2pac na BIG.
Leo nimesikia kuna blogger mmoja wa TZ kavamiwa na sijui team kajala sijui wema. Hadi wameanza kuvamiana, wasipoangalia watatiana vilema.
Afu nikiangalia wanaowaendesh Wema.na Kajala, nabaki tu, really? Inawezekanaje?
Tena lilimuuma sana watu kuweka umri wake hadharani, miaka 55+ sio mchezo, keshastaafu.
ha ha ha...Nyani Ngabu katika uzushi uliomuuma ni wa kuambiwa mzee...lol
ha ha ha ...uzee mwisho Msata...
Enhee unaona sasa....
Hao ambao hadi wanavamiana ndo wanaojuana.
Lakini mimi zimwi NN utaanzia wapi hata kunivamia wakati hunijui kabisa zaidi ya kunisoma tu humu na occasional PMs?
Manake for all you, mi na wewe tunaweza kurushiana maneno humu, halafu jioni tukakutana Mary Brown bila hata kutambuana na pengine hata kusalimiana na ku make small talk.
Trolling is not bullying.