kwani anaongelewa nani wajameni tujuzane basi nani nipate cha kukoment teh...
namkumbuka ticha wangu alikuwa anatusisitiza "vijana jitahidini kutafuta umaarufu, jamba hata mbele za watu ili uwe maarufu"
Kwani hii thread ina maudhui ya kumuongelea mtu fulani? I don't think so..! After all gorgeousmimi isn't that kind of a woman..! I respect her for that.
hahaaaaaaa
kwani anaongelewa nani wajameni tujuzane basi nani nipate cha kukoment teh...
hahaaaaaaa
Teh teh....ni mimi apa. Umefurahi?
Kuna mmoja nimemdharau muda mrefu hajielewi
Namtafutia siku nimpe vitasa vya haja
Atasimulia hadi wajukuu zake
Teh! teh!
Na wewe utakuwa unawaambiaga wanafunzi wako wafanye hivyo ndo maana umecheka.
umefurahi eeeh, jitahidi utafute umaarufu kwa namna yoyote ongea hata uongo....
Mmmh.. Haya..!what do u think then....anyway mi nafikiri ni specifically kwa watu fulani wenye hiyo tabia tajwa hapo sredini..
I doubt................
Mmmh.. Haya..!
Kuna mtu tulikuja kutofautiana akawa anani bully na matusi kwenye nyuzi. Nilipokuja ku retaliate alitia akili. Hovyooo!!
Kwani hii thread ina maudhui ya kumuongelea mtu fulani? I don't think so..! After all gorgeousmimi isn't that kind of a woman..! I respect her for that.
kama sina akili ya kuandika vya maana?
umefurahi mwenyewe...ndo ulichokuwa unakitaka hicho!!!
poa jumapili njema
hahaaaaa!!!