richie hassan
Member
- Jan 10, 2013
- 52
- 9
Habarin za huku ndugu, samahan kwa usumbufu, jaman mm nna tatzo moja tu mwenye uwezo naomba anisaidie..... Nataka kujua ni mfumo/software gani wanao tumia watu wa cyber katika kumuekea mteja muda kwenye saver machine?
je wana connect kwa kutumia window saver/time watcher ipi....... Yaan saver inakuaje hadi inaweza Ku control clients.... Help please
je wana connect kwa kutumia window saver/time watcher ipi....... Yaan saver inakuaje hadi inaweza Ku control clients.... Help please