Cyber security

Over 70% of Washington DC's CCTV Were Hacked Before Trump Inauguration
Dunia inabadilika kitechnolojia Na tunaona hata apa nchini mwetu kuwa Na kifaa cha computer either general purpose au embedded(kwenye baadhi ya vifaa kama simu Na digital camera) ni dili sana kwa vijana Na wazee.Lakini je nini huwa kinatokea ambapo technolojia imeenda mbele kuliko uelewa wa watu?Nchi imekuwa na sifa ya kuwa kisiwa cha amani lakini je serekali Na wananchi wake inachukua tahadhari gani kujilinda Na aina hii mpya ya kivita ambayo haiitaji makomando Bali watu wenye uelewa mkubwa ?Je watu wanatambua kuwa antivirus nyingi cku hzi wanazotumia zinashindwa ku detect sophistacted malware?
 
Umenikumbusha russia walichoifanya usa mwaka jana...umenikumbusha jinsi wa korea na wachina wanavyompasua kichwa usa kwenye uwanja wa hacking!!
 
What is androidRAT??
androidRAT ni kifupi cha Android remote access trojan. Kwa kirefu zaidi ni trojan ambaye anakupa access kwenye Android device yeyote Ile Na ana run kwenye background hvo cyo rahisi kuwa detected.Mfano kama unataka upate contacts za mtu, messages zake Uzi intercept,umrekodi kutumia front camera yake hyo Ndo kazi yake.lakini hayuko limited hapo tu source code yake iko github unaweza modify afanye kitu chochote(algorithmically conceivable)
 
Bro mbna unachanganya ma file mara unaanza mambo ya monitoring kwamba sio kweli alfu baadaye unasema ni kweli.Paradoxes bro.Alfu nilivyosema skills nimeongelea hacking as in exploiting systems holes cyo signals intelligence.Marekani anamuelewa sana Russia ndo maana Vita vya pili vilipoisha alikimbilia kuchukua codebreakers wa kijerumani ku break za Russia.All in all nilivyosema skills nili judge based on public incidents sipendi ku consider covert operations maana zinaweza kuwa propaganda au conspiracy theory
 
NSA hamna wa kumfikia akati shadow brokers wali breach tools za NSA ??Labda ueleze vzuri kama ni mambo ya code breaking ntakukubalia Ila systems exploitation Na mashaka kidogo kuwa kila kitu kinatoka kwao.Maybe wanaweza kuwa supreme maana wao wako covert sana Ila historia inaonyesha kuwa marekani ni nchi ya propaganda sana so cwezi reach 100% conclusion.Labda kama una affirmative data ya utoe link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…