The only suitable news teachers are waiting .This time we are fully determined whatever to happen we are re This country is not for politician only even we teachers we are providing a unique service for the society transformation.IT`S ENOUGTH TEACHERS NO BODY CAN STAND FOR OUR RIGHTS LETS STAND OURSELVES.IT IS UNFAIR FOR THE GVT THE WAY TREATS US EVEN THE SOCIETY JUDGE US AS SILLY INDIVIDUALS NOW LET TEACH THEM A LESSON NOTHING NEW CAN COME IN OUR SILENCEBaraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo upo kwa kuwa mahakama kuu divisheni ya kazi haijasitisha mgomo huo
Source Channel ten habari
kila la kheri waalimu....but madai yenu mbona hayako wazi sasa....najua shida zilzopo katika mashule yetu but mmeyaweka kama watu mnaojua mnachodai? au dai lenu kubwa ni mshahara tu! hopy mmejifunza chochote kutokana na mgomo wa madactari walikua wamepanga vzuri madai yao japokua walijisahau tu kidogo kwenye figure yao ya 3.5 Mil....kuweni wamoja cc tupo pamoja nanyi msiogo Pande haiwez tokea tena...ANGALIZO WINGI WENU UCWE NDO UDHAIFU WENU.
acha umbea uliza kwanza sio unakurupuka Shule zinafungwa tarehe 3-8-2012, afu KUMBUKA Shule hazifungwi Kama Duka hata wakati wa likizo kazi huwa zinaendelea coz kuna madarasa ya mitihani, na zamu zipo Kama kawaHuu ni mgomo usio na makali. Mbona shule zote zinafungwa jumanne tar.31 hadi mwezi wa tisa kwa ajili ya kupisha Sensa?. Sasa ni mgomo gani huu wa kichovu?.