CWT yapinga walimu kusafiri bure

Mi naona makonda yuko poa sana coz hiyo huduma ka amua kuwasaidia walimu wake ndani ya wilaya, sijaona wala kusikia dc wala rc katowa mawazo chanya kwa mwalimu, hongera makonda umedhubutu
 
Huku ni kuwapunguzia kero ndogo ndogo. Huu ni mwanzo, lakini watanzania uchwara watataka kila kitu kitokee overnight. Hivi tumerogwa na nani? Hatujui hata tupinge nini, kila kitu ni siasa. Hovyo kabisa. Maendeleo ni hatua, sio kufumba na kufumbua.

Timu zungusha mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…