Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,225
- 232
Siwaungi mkono kwani ualimu ni wito kwa sasa,we huoni wanaosomea ualimu ni waliofeli form4&6?hilo ni chaka la vilaza,tena hyo wanayolipwa ni nying sana ingepunguzwa
nasikia kuna chama kipya cha walimu kinacho tafuta usajili wa kudumu kinaitwa UMET nadhani hii inaweza kuwa ukombozi kwao
maana nasikia pia mkoa wa Kigoma wote wajitoa kwenye CWT na wanadai warudishiwe fedha zao hiyo kesi iko mahakamani
Walimu,
mnaelewa idadi kubwa ya Makatibu wa CWT Wilaya ni Makada na Majasusi watiifu wa CCM?
Ondoa hao
HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA
KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TZ! (Ajira
mpya cheti)
Mwl 244,400/= Afya 472,000/= Kilimo/mifugo 959,400/= Sheria 630,000/=
Diploma mwl 325,700/= Afya 682,000/= KLM/MFG 1,133,600/= sheria
871,500/=
degree mwl 469,200/= Afya 802,200/= Klm/MFG 1,354,000/= Sheria
1,166,000/= Je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa
umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa
kutisha? Ungana na Cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, Teaching
allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano
daima.
Acheni kukashifu watu kama wanadai wanachoona ni haki yao, sijui kundi gani lililo na mnaojiona mrifaulu vizuri form 4 na 6 linafanya kazi vizuri wanasheria wengi wa tanzania maamuzi yao ovyo, watu wa it vimeo wengi sana hata kurekebisha tu mtandao wa atm unawashinda.
Niko hapa nilipo kwa juhudi zangu na za walimu wangu.
Alaaniwe awadharauye walimu. Alaamiwe mpaka apate ugonjwa wa kukojoa kitandani.
Nasikitika walimu wamekuwa waoga kudai haki zao. Hii imepelekea hata mijitu iliyofanikiwa kwa juhudi za walimu wawadharau.
Pambaf na Shenzy sana awadharauye walimu. YES I said it.
Waalimu mmepata div four zenu mkapewa kazi ili msife njaa bado mnalalamika. Ktk sekta inayoongoza kuwa na failure wengi ni ualimu. Mkifukuzwa ualimu mtaenda wapi? Wengine ni Waalimu UPE, nao wanadai fadhila. Kufundisha hamfundishi, mnadai maslahi. Gomeeni muone, tunawafuta kazi mkalime.
mimi sikubaliani na yeyote yule anaesema walimu ni waoga,,mara ooo walimu hawatagoma...hao walimu mnaowasemea ni wapi???kama ni wa miaka ileee sawa but hiki ni kizazi cha digital,,,walimu graduates na diploma holderz...4sure we ar tired na tutagoma....lasivyo sie waelewa tutakua tayari hata kufukuzwa kazi....zaidi ya yote cwt wakiishia njiani wajue ndo safari yao imewadia...kwanza tunataka tusihusiswe kwenye sensa,,,nasi ths year tuhesabiwe na manesi na maafisa kilimo,,,pili tuondolewe kwenye issue za kusimamia kura na tatu watambue kua we ar more serious and we are breathing fire.....tuungeni mkono wadau bali msitubeze na kutudhoofisha ktk hili ambalo tumelidhamiriahebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz! (ajira mpya cheti)
mwl 244,400/= afya 472,000/= kilimo/mifugo 959,400/= sheria 630,000/=
diploma mwl 325,700/= afya 682,000/= klm/mfg 1,133,600/= sheria 871,500/=
degree mwl 469,200/= afya 802,200/= klm/mfg 1,354,000/= sheria 1,166,000/= je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa kutisha? Ungana na cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, teaching allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano daima.
Hawa waalimu wananiudhi kweli. Ni vibaraka wakubwa sana wa ccm na serikali yake hawa, sasa wanacholalamika nini?? Hata mufindi walijumuika kwenye maongezi na katibu wao wa itikadi na uenezi Nepi.Mna haki ya kugoma. Mmenyanyaswa kiasi cha kutosha. Shikamaneni mdai haki zenu.