CWT yaanza kusambaza ujumbe wa simu (sms) za mgomo kwa walimu nchi nzima

Siwaungi mkono kwani ualimu ni wito kwa sasa,we huoni wanaosomea ualimu ni waliofeli form4&6?hilo ni chaka la vilaza,tena hyo wanayolipwa ni nying sana ingepunguzwa

Acha kupanua domo lako ww hivi hujui kwamba wapo walimu wamesoma mpaka ngazi ya PhD? Nao hao wote ni div 4? Fikiri kabla, kwani hakuna manesi na matabibu ambao ni std vii? Mtu mzima hovyooo.....!
 
Waalimu hawa hawa au wengine?tumeisha wazoea na mikwara yao mwisho wa siku wanafyata wenyewe.
 
nasikia kuna chama kipya cha walimu kinacho tafuta usajili wa kudumu kinaitwa UMET nadhani hii inaweza kuwa ukombozi kwao

maana nasikia pia mkoa wa Kigoma wote wajitoa kwenye CWT na wanadai warudishiwe fedha zao hiyo kesi iko mahakamani

ni kweli lkn kinapigwa zengwe sana na nimejaribu kufuatilia kumbe hata cwt ilikuwa ni era ya ccm kuianzisha na kusudi lao kubwa lilikuwa ni kuweza kuwa na chombo kitakachotetea maslah ya waalim na ilani na katiba yake vyote vinatekelezwa kulingana na sera za ccm. hapa niliona basi siyo chombo huru na kamwe hakitaweza kutusaidia unless mbingu ibadilike.

mimi naunga hoja mkono ya kuwa na chombo huru cha kuwakusanya waalim tofauti na cwt ilivyo. Unajua hapa jukwaani kuna watu wanatoka povu bure but ukiangalia kwa makini ishu za waalim utashangaa sana.

Jamani tunakitu kinaitwa TSD humu ndani na chenyewe kilianzishwa ndani ya tume ya utumish ili kuratibu ajira za waalim lkn hiki nacho kama ilivyo cwt ni bogas kabisa. waweza kupandishwa madaraja na tsd hata kama hujafikia muda na pia waweza usipamndishwe kabisa. lkn ukiripoti wahusika wakuu wanakupiga dana dana basi cwt iende kukusaidia iko kimya wanakula kuku na kufanya kazi kwenye viyoyonzi lol! hii ni aibu sana.

huyu mkoba kwetu ndio mwiba kabisa, yaani sitaki hata kumsikia
 
Niko hapa nilipo kwa juhudi zangu na za walimu wangu.

Alaaniwe awadharauye walimu. Alaamiwe mpaka apate ugonjwa wa kukojoa kitandani.

Nasikitika walimu wamekuwa waoga kudai haki zao. Hii imepelekea hata mijitu iliyofanikiwa kwa juhudi za walimu wawadharau.

Pambaf na Shenzy sana awadharauye walimu. YES I said it.
 
Walimu,
mnaelewa idadi kubwa ya Makatibu wa CWT Wilaya ni Makada na Majasusi watiifu wa CCM?
Ondoa hao

mkuu umenena vyema na hata chama chenyewe kimejengwa katika misingi ya u ccm ndio tatizo lilipo!
 
mpaka kieleweke!

HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA
KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TZ! (Ajira
mpya cheti)

Mwl 244,400/= Afya 472,000/= Kilimo/mifugo 959,400/= Sheria 630,000/=


Diploma mwl 325,700/= Afya 682,000/= KLM/MFG 1,133,600/= sheria
871,500/=


degree mwl 469,200/= Afya 802,200/= Klm/MFG 1,354,000/= Sheria
1,166,000/= Je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa
umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa
kutisha? Ungana na Cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, Teaching
allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano
daima.
 
wananchi tuwaunge mkono maana mgomo wa waalimu matokeo yake ni kila mwaka wanao chemka wanaongezeka..
 
Acheni kukashifu watu kama wanadai wanachoona ni haki yao, sijui kundi gani lililo na mnaojiona mrifaulu vizuri form 4 na 6 linafanya kazi vizuri wanasheria wengi wa tanzania maamuzi yao ovyo, watu wa it vimeo wengi sana hata kurekebisha tu mtandao wa atm unawashinda.

kweli kabisa bora hata walimu wa form 4
 
Niko hapa nilipo kwa juhudi zangu na za walimu wangu.

Alaaniwe awadharauye walimu. Alaamiwe mpaka apate ugonjwa wa kukojoa kitandani.

Nasikitika walimu wamekuwa waoga kudai haki zao. Hii imepelekea hata mijitu iliyofanikiwa kwa juhudi za walimu wawadharau.

Pambaf na Shenzy sana awadharauye walimu. YES I said it.

amina ubarikiwe
 
Teachers should struggle to professionalise their career before they demand for fringe benefits. SOME of the so called teachers are amatures and majority are mediocre. They are ready to receive any amount provided as they have no other alternatives.
 
Waalimu mmepata div four zenu mkapewa kazi ili msife njaa bado mnalalamika. Ktk sekta inayoongoza kuwa na failure wengi ni ualimu. Mkifukuzwa ualimu mtaenda wapi? Wengine ni Waalimu UPE, nao wanadai fadhila. Kufundisha hamfundishi, mnadai maslahi. Gomeeni muone, tunawafuta kazi mkalime.

Kumbuka kwamba wazazi wako kabla haujapatikana ww walifundishwa na walimu hawa unaowaita wa UPE na waliopata div 4 au waliofeli kama unavyoita, ww na kaelimu kako ka sekondari ulifundishwa na walimu hao hao, ma2mizi ya cmu na kuandika herufi kuwa maneno ya kueleweka ulielezwa na walimu hawa, kujua ustaarabu wa kuvaa, kufua soksi, kupiga mswaki na kuchana nywele ni kazi ya mwalimu, mbona huna adabu ww stdnt? acha kashfa.....
 
Waalimu wanasalitiana sama! Kuna tofauti kubwa sana miongoni mwao. Wengi ni wanafiki, kugoma hawawezi. Mtu anasubiri kustaafu, amekuwa mwalimu kwa miaka 35 anasubiri kiinua mgongo we uje umwambie agome ili afukuzwe kazi? Hawezi kukubali lazima akusaliti tu na ukichukulia CWT ni sehemu ya CCM!
 
hebu tizama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz! (ajira mpya cheti)

mwl 244,400/= afya 472,000/= kilimo/mifugo 959,400/= sheria 630,000/=


diploma mwl 325,700/= afya 682,000/= klm/mfg 1,133,600/= sheria 871,500/=


degree mwl 469,200/= afya 802,200/= klm/mfg 1,354,000/= sheria 1,166,000/= je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa kutisha? Ungana na cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, teaching allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano daima.
mimi sikubaliani na yeyote yule anaesema walimu ni waoga,,mara ooo walimu hawatagoma...hao walimu mnaowasemea ni wapi???kama ni wa miaka ileee sawa but hiki ni kizazi cha digital,,,walimu graduates na diploma holderz...4sure we ar tired na tutagoma....lasivyo sie waelewa tutakua tayari hata kufukuzwa kazi....zaidi ya yote cwt wakiishia njiani wajue ndo safari yao imewadia...kwanza tunataka tusihusiswe kwenye sensa,,,nasi ths year tuhesabiwe na manesi na maafisa kilimo,,,pili tuondolewe kwenye issue za kusimamia kura na tatu watambue kua we ar more serious and we are breathing fire.....tuungeni mkono wadau bali msitubeze na kutudhoofisha ktk hili ambalo tumelidhamiria
 
Hamieni kwenye siasa, hamumuoni mwenzenu Lukuvi ameongezewa mshahara kwa hiyo mwezi julai anaanza kulamba 10m kwa mwezi. Kwa ulaji safi namna hiyo atawakumbukwa kweli kina angwanjikiko?
 
Waalimu mdai chenu, acheni kujilinganisha na taaluma zingine.....mbona hata mkiambiwa mkasomee hizi taaluma mnazikimbia? Tena wanataaluma hao wanalipwa kidogo wanastahili nyongeza lakini ninyi pia endeleeni kuomba nyongeza mnayostahili. Acheni kutumiwa na serikali kupoteza maana ya Madaktari kudai utekelezaji wa kile JK alichowaahidi.
 
Mna haki ya kugoma. Mmenyanyaswa kiasi cha kutosha. Shikamaneni mdai haki zenu.
Hawa waalimu wananiudhi kweli. Ni vibaraka wakubwa sana wa ccm na serikali yake hawa, sasa wanacholalamika nini?? Hata mufindi walijumuika kwenye maongezi na katibu wao wa itikadi na uenezi Nepi.
 
Haya bwana walimu gomeni serikali mfu itawasikiliza,haha haha haaaaaa,jiungeni na madaktari kwani mlitufundisha umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom