Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
mi nadhani walimu wawashawishi na wanafunzi wagome!
wanafunzi nao wanadai maslahi? Acheni kuwapandikiza chuki watoto.
mi nadhani walimu wawashawishi na wanafunzi wagome!
Waalimu mmepata div four zenu mkapewa kazi ili msife njaa bado mnalalamika. Ktk sekta inayoongoza kuwa na failure wengi ni ualimu. Mkifukuzwa ualimu mtaenda wapi? Wengine ni Waalimu UPE, nao wanadai fadhila. Kufundisha hamfundishi, mnadai maslahi. Gomeeni muone, tunawafuta kazi mkalime.
Siwaungi mkono kwani ualimu ni wito kwa sasa,we huoni wanaosomea ualimu ni waliofeli form4&6?hilo ni chaka la vilaza,tena hyo wanayolipwa ni nying sana ingepunguzwa
Amini usiamini taifa letu litapata mapinduzi ya kweli kama walimu hasa wa shule za msingi watatoka usingizini walimo sasa hivi. Hili ni kundi muhimu sana kwa mapinduzi ya kweli Tanzania
dah!yan kama kundi muhimu ndio hili ambao wamekosa crdt za kuingilia advanc na chuo basi tz imeoza na inanuka
eti kundi muhimu linapokea failure! Huu si upunguani. Gomeni muone.
HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA WA TZ! (Ajira mpya cheti)
Mwl 244,400/= Afya 472,000/= Kilimo/mifugo 959,400/= Sheria 630,000/=
Diploma mwl 325,700/= Afya 682,000/= KLM/MFG 1,133,600/= sheria 871,500/=
degree mwl 469,200/= Afya 802,200/= Klm/MFG 1,354,000/= Sheria 1,166,000/= Je upo tayari kuvumilia kunyanyaswa hivo katika utumishi wa umma wa taifa moja lenye soko la bidhaa lililo na mfumuko wa bei wa kutisha? Ungana na Cwt kudai nyongeza ya mishahara 100%, Teaching allowance hardship allowance. Wape sms hii walimu 20 tu! Mshikamano daima.
Hivi pilisi mbona kimya! Wao wanalipwaje?
Waalimu wenyewe hawana ethics za ualimu, mwalimu amevaa mlege anadai maslahi. Wanatuharibia mabinti zetu wanadai maslahi. Hawafundishi, watoto wanazidiana kwa kufeli wanadaia maslahi. Wengine ni vihiyo, hawajui kitu wanadai maslahi. Gomeni muone.