thereitis
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 297
- 41
Hivyo ni vitisho tu walimu hawezi kugoma. CWT imeshindwa kuwaweka walimu pamoja kwani viongozi wapo kwa ajili ya maslahi yao. Pia makundi ya walimu ni mengi; wapo walioridhika na mshahara mdogo hasa walimu wenye cheti(primary school teachers). Angalau wenye diploma, Degree na Phd wanaweza kugoma.