CWT ya Tanzania imejifunza nini kutoka kwa "CWT" za Kenya na Uganda ?

iPad ya Apple

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
322
126
Mada juu ya jieleza, Walimu wakenya waliweza kugoma hadi serikali yao ikatii sheria kwa shuruti.Ikatekeleza Madai yao baada ya mgomo wa wiki mbili na ushee.Sasa tunaona mwendo mdundo huko Uganda sasa ni mwezi mmoja na ushee walimu wamegomaPamoja na kwamba mahakama imezuia mgomo Kama ilivyokuwa kwa wakenya.Sasa Tz tatizo ni nini? Mbona mgomo wa walimu hapa bongo ulitake less than a wiki na walimuWakarudi class bila kutimiziwa Madai yao.Chama cha Walimu Tanzania kuna kitu wanachojifunz kweli kutoka kwa vyama vya walimu Kenya na Uganda?
 
CWT ya Uganda? ndio mdudu gani?...wewe una matatizo

Ndio maana kuna fungua na funga semi kwenye neno CWT, "CWT" ukiona hivyo Hilo neon usilibebe
kama lilivyo mbulula wewe, Kenya na Uganda nao wanavyama vyao, so try to learn by Assossiation.
Bila Shaka wewe Tatizo ni "NECTA 2012"
 
Acha kutumia akili za madawa ya kulevya wewe! umeshindwa kuandika kichwa cha habari! Kenya hukijui chama cha walimu kinaitwaje? na Uganda je?

Masogange arudishwe remand kwa hili anaua vijana!
 
Acha kutumia akili za madawa ya kulevya wewe! umeshindwa kuandika kichwa cha habari! Kenya hukijui chama cha walimu kinaitwaje? na Uganda je?Masogange arudishwe remand kwa hili anaua vijana!
I say YES! To praise a fool.
 
Hahaha mkuu vipi kuhusu "JWTZ" ya Kenya imeshindwa kuwatoa Vijana 15 wa Al-Shabab?....... ni Mwehu tu anaweza kukubali upuuzi wako

Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko hata wa Nape, pole sna.

kuwa na elimu ni pamoja na Kuwa n uwezo wa kun'gamua mambo.

ndio maana fasihi inafundishwa shuleni na vyuoni. Avoid using Dictionary meaning! and let you
never take anything for granted. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya hapa Duniani.

My, Take.
Jaribu kutumia Akili zaidi badala ya Nguvu.
 
cwt,ni kifupi cha maneno yafuatayo (chama cha walimu tanzania) sasa unamaana gani kusema cwt ya kenya na uganda,haileti maana kaka kubali kukosolewa
 
ndo maana walimu wa mkoa wa kigoma walijitoa cwt.kaz kukata hela tu na kujenga magorofa.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko hata wa Nape, pole sna.

kuwa na elimu ni pamoja na Kuwa n uwezo wa kun'gamua mambo.

ndio maana fasihi inafundishwa shuleni na vyuoni. Avoid using Dictionary meaning! and let you
never take anything for granted. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya hapa Duniani.

My, Take.
Jaribu kutumia Akili zaidi badala ya Nguvu.

Sasa kwa kuwa hutaki kuelewa tunapokuambia kua umekosea, basi yapaswa uombewe...pengine una mapepo.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko hata wa Nape, pole sna.

kuwa na elimu ni pamoja na Kuwa n uwezo wa kun'gamua mambo.

ndio maana fasihi inafundishwa shuleni na vyuoni. Avoid using Dictionary meaning! and let you
never take anything for granted. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya hapa Duniani.

My, Take.
Jaribu kutumia Akili zaidi badala ya Nguvu.

Ujumbe wa mleta mada umeeleweka kwahiyo sioni shida
 
Back
Top Bottom