Cwt waipa serikali siku saba

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Chama cha walimu tanzani CWT kimeipa serikali siku saba kufuatia amri ya mahakama ya kuitaka serikali kukutana na CWT na kufanya majadiliano kuhusiana na madai ya walimu SOURCE ITV
 
Vip serikali inagoma nini kufanya hayo majadiliano,?!! wakati mahakama ilitoa amri ya majadiliano ya mezani kati ya pande mbili. Serikali sikivu huwa sikivu kwa wafanyakazi wake na hata wananchi wote kiujumla.
 
Du part 2 ya hili movie imeanza ngoja nikae mkao wa kula, serikali haichelewi kusema walimu wametumwa na M4C!
 
Na hiyo altimatum ya siku 7 ina masharti gani? Watarudi kunako mgomo tena?
Au mtaambiwa LIWALO NA LIWE!
 
Walimu tusikate tamaa,wataeleweka tu.NO PROGRESS WITHOUT STRUGGLE!ALUTA CONTINUA!VIVA TEACHERS!VIVA CWT!WE HAVE TO SHOW THEM WE ARE THE JACK OF ALL TRADES.AMAAAAANDLAAAAAAAA
 
Siku mamluki wakiondolewa katika ualimu,solidarity itakuwepo,kwa sasa kuna former barmaids waliochakachua vyeti hawawezi kamwe kuivimbia "sirikali"
 
Mukoba hivi unakufaham mambwepande? We endelea wakusikie akina.......bahati mbaya mtetezi mwanahalisi kafungiwa.
 
Hii move starling & killer washajulikana na starling akishajulikana inamaana msindi anajulikana nikimaanisha walimu bado kabisa hawajawa na ushirikiano wa kusema sasa tunagoma mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom