Wao walie na TBA ndo inawahusu watumishi wawache NHC wadil na Vibopa
Habari nilizozipata kutoka kwa kiongozi mwandamizi wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) nikwamba mpaka sasa hakuna hata mwalimu mmoja aliyefanikiwa kuweza kukopa au kununua nyumba za NHC Tanzania nzima.
Walimu wanashangaa NHC kugeuka kuwa shirika lenye mlengo wa kibepari na sii la kuwahudumia watanzania wenye kipato cha chini na kati, na wamepanga kufikisha malalamiko yao officially kwa mkuu wa nchi
MY TAKE:
TUICO na TUCTA tunaomba mtupe mrejesho pia, NHC inatumika kwa manufaa ya wenye pesa nzito nzito.

mkuu hebu funguka hawa mapacha WATATU ni kina nani????
Kabla ya kufunguka jua kuwa Shilika hili si la UMMA tena Bali ni la KUUMA, kumbuka malamiko ya hapo awali ya kuongezewa mshahara mkurugenzi pamoja naposho nyingi kama vile anafanya kazi peke yake, alipokataa Prof. Anna Tibaijuka unaona yaliyomtokea, Pili nyumba nyingi zinazokaliwa na wahindi mjini hazijaongezewa kodi mda mrefu kwani wahindi wanajua njia zao za kuwafanya wasiongezewe kodi, lakini wapangaji wapya wakukutana na kadhia kali ya kupandishiwa kodi kubwa kwa vyumba vya biashara, sisi walala hoi uwezi kupata sehemu ya biashara ya bei nafuu, yaani NHC imekuwa shirika la kilanguzi, hata vipimo vyao vya kodi per square haviko sahihi wanakisia tu bei wanakupiga.
Tusiwe wepesi kulaumu, wao ni top management wa shirika la nyumba wasiwe na nyumba tena za kifahari? chanzo chakuuza nyumba kwa bei aghali si wao. NHC wao hawana pesa mfukoni, wanakopa kwenye taasisi za kifedha, hizo pesa zina riba.wanacho fanya NHC ni kujitajirisha.
Viongozi wote walio katika menejiment ya NHC WAMEKOPESHWA MAGARI MAPYA KABISA NA BADO WANATUMIA MAGARI YA KAMPUNI NA AMBAYO I MAPYA PIA !
VIONGOZI WA JUU KAZI YAO KUZUNGUKA TU SAFARI HAZIISHI NCHINI NA NJE WANATUMIA SANA PESA ZA SERIKALI BILA KUULIZWA !
KILA KIONGOZI WA NHC KTK MANAGEMENT TEAM AMESHAJENGA JUMBA LA KIFAHARI KTK MUDA MFUPI TU WALIOAKAA KAZINI.TUJIULIZE MARA HII PESA WAMETOA WAPI ?
TAKUKURU MKO WAPI HAWA JAMA WANA PESA NI BALAA.WANAZIPATA WAPI ?
Huyu sasa kaja na yake hivi nani alisema viongozi wa serikali lazima wawe masikini, umechanganya mada ndugu ni better ukawashitaki hao nhc pccb ili tujue mbivu na mbichiwanacho fanya NHC ni kujitajirisha.
Viongozi wote walio katika menejiment ya NHC WAMEKOPESHWA MAGARI MAPYA KABISA NA BADO WANATUMIA MAGARI YA KAMPUNI NA AMBAYO I MAPYA PIA !
VIONGOZI WA JUU KAZI YAO KUZUNGUKA TU SAFARI HAZIISHI NCHINI NA NJE WANATUMIA SANA PESA ZA SERIKALI BILA KUULIZWA !
KILA KIONGOZI WA NHC KTK MANAGEMENT TEAM AMESHAJENGA JUMBA LA KIFAHARI KTK MUDA MFUPI TU WALIOAKAA KAZINI.TUJIULIZE MARA HII PESA WAMETOA WAPI ?
TAKUKURU MKO WAPI HAWA JAMA WANA PESA NI BALAA.WANAZIPATA WAPI ?
Mawazo mgando, let me take a break! Hi hivi ndugu nani alikuambia NHC ni shirika la kujenga nyumba za walimu tu, hebu nenda kasome sheria iliyoliunda inasemaje kisha ndo uje na hadithi. NHC ya sasa siyo ya mwalimu hii ya sasa haina ruzuku hata senti yajiendesha kibiashara haiwezi kugawa nYumba. Umemiss point rudia tenaHabari nilizozipata kutoka kwa kiongozi mwandamizi wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) nikwamba mpaka sasa hakuna hata mwalimu mmoja aliyefanikiwa kuweza kukopa au kununua nyumba za NHC Tanzania nzima.