CWT Mkoa wa Dar-es-Salaama wayatambua makontena 20 aliyoyakana Makonda na yadai Makonda aliwashirikisha yalipowasili

Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa
 
mkuu Salary Slip , usiiache hii ielee elee hivi bana.

embu tupe analysis kidogo - CWT kuwa msemaji wa consignment ambayo m/kiti wake anakiri mwenyewe kuwa si ya CWT; Makonda kuikana consignment sasa ambayo mwanzoni aliwaonyesha waalimu, nk

it doesn't add up - heeelp!!
Mimi naona mpaka hapo umeshamaliza kila kitu.

Kuishi Bongo kunataka moyo mkuu!!
 
Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa
Only fools will celebrate and be comfortable in this country.
 
Katika Makontena 20 huenda kontena moja ama mawili ndio yangeenda mashuleni....hayo mengine yangeingizwa kwenye maduka ya wahusika.

Makonda anajua mchezo mzima.....ila mamlaka za juu inaonekana zimemshitukia...
Hebu tuelewana kwanza, hata kama lingekuwa ni kontena moja ni kwa nini consignee awe individual na siyo Government office?

Hivi hamuoni kuna tatizo kubwa sana hapo?

Hivi Mheshimiwa amelishwa nini na Makonda mpaka amekuwa kipofu?

Basi ampeleke Mwanza huu uhuni wake akafanye na wasukuma wenzake huko, sisi wana Mzizima tumemchoka.
 
Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa
Ukishanunuliwa bia za bure na hao mabwana zako basi unakuja kujambajamba tu hapa
 
Ukiwa mwanasiasa na ukianza kuandamwa na tuhuma hata kama 99.9% ni za uongo usipojiuzulu kabla wapinzani wako hawajaanza kushambulia kila kona basi itafika muda wananchi wataamini kila jambo unalotuhumiwa. Waangalie wakina EL, Hillary, Najib etc. Bwana RC angeachia ngazi na atafute njia nyingine ya kurudi kwenye ulingo wa siasa.
 
Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa
Samahani Mkuu,umeishia darasa la ngapi?
 
Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa
hahaa. wewe Jamaa bwana " akili zako hata hazifanani na huu ujinga unaojaribu " kujivisha aisee...
 
Naweza sema kwa uwazi.. RC Makonda hahusiki kabisa ..Hizo ni samani za ofisi za waalimu shule za msingi na sekondari Dar...

Sbb watu wengi humu JF na kwingineko mnataka sana kumchafua RC Makonda na sbb anapiga kazi vizuri sana na mfano wa kuigwa, mnajisumbua tu, fanyeni kazi zenu mnapoteza muda wenu bure.. Hahusiki kabisa

Kwani nan kasema anahusika? Jina lake ndo limeandikwa ktk wadaiwa bandarini.
 
Kwanini walishirikishwa walimu na wanafunzi badala ya kuishirikisha CWT ambayo haihusiani na wanafunzi? Itakuwa kulikuwa na jaribio la kuiaminisha TRA na Bandari kuwa ni msaada wa mashule ili uweze kupita kirahisi, hapo ulitumika ujanja wa Sinza.
Kwani ilishindikana nini kusubiri yakatolewa bandarini ili wanafunzi na hata hao walimu wao wakaitwa siku ya kukabidhi labda kwa REO, DEOs, DCs na wengine?
 
Jamaa mpigaji na yeye , kumbe inchi hii haina mzalendo wa Kweli kasolo mimi tu
 
Back
Top Bottom