jana tuliambiwa kwamba cwt walishindwana na serikali tar 20jully 2012; wakashindwana, hivyo leo tar 25 jully baraza la usuluhishi wangeipa CWT certificate ya "agreement failure" ili cwt wajuwe nilini wataanza mgomo. Sasa nataka kujua kwa anayefahamu kama kuna kipya cwt wamekitoa! NAWKILISHA