CWT Certificate of "Agreement of Failure" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CWT Certificate of "Agreement of Failure"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MARCKO, Jul 25, 2012.

 1. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wana jamii,

  Jana (tarehe 24/07) tuliambiwa kwamba CWT walishindwana na serikali tarehe 20 July 2012. Hivyo leo tar 25 July baraza la usuluhishi wangeipa CWT certificate ya "agreement failure" ili wajuwe ni lini wataanza mgomo wao.

  Kwa anayefahamu naomba kujua kwa anayefahamu kama kuna kipya CWT wamekitoa!

  NAWKILISHA
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  leo cwt wamepewa certificate ya kushindwa kuelewana na serikari na kwa hatua hiyo walim wameanza kupiga kura zao leo za kuunga mkono mgomo kura hizo zitapigwa kwa siku 2 yaani leo na kesho then cwt watatangaza what next, stay calm mr.
   
 3. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya bwana nguna ya asubuhi. Tuhabashe wengind tuko mbali sana.
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  vijamaa vinaogopa makwezi ya rama na msangi
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nani anabisha kua mshahara haujachelewa? Na ninani ana uhakika kama serik haitanyima kabisa?
   
 6. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo kituoni kwetu muwakilishi wa cwt mkoani kaja na akasema tupige kura ya maoni ya kukataa au kukubali mgomo.
   
 7. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbona mikoani hawajatoa fomu wangepeleka ili wale wenye uchungu wasaini maana kodi ya mshahara tu inashawishi watu wagome
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  tanzania kwa njia ya MIGOMO inawezekana!!! songeni mbele wakuu......
   
 9. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yani nyie bado tu!. Ijuma saa 3asubuhi yanatakiwa cwt makao makuu wapewe mjumuisho.
   
Loading...