Marital status inahusikaje na uwezo wako wa kufanya kazi? Na unaajiriwa kwa sababu ya marital status au uwezo wa kufanya kazi?
Wekeni basi na vyama vyenu vya kisiasa bila kusahau makabila, dini, hobbies, magonjwa ya zinaa mlowahi kuyapata, na kadhalika.
You are missing the point. Kuwa au kutokuwa na umuhimu kwako hakuikupi haki ya kuwaita wale wanaoona umuhimu wake kuwa ni wajinga sana.
Wewe na hao wanaoweka wote ni wajinga na wa.------- tu.
haya mwerevu.
Tena muwe mnaweka kabisa na tarehe mlizofunga hizo ndoa, majina ya waume au wake zenu, pamoja na idadi na majina ya watoto mliopata kwenye hizo ndoa. Mkimaliza hayo muweke na majina ya wakwe, mashemeji, na marital statuses zao ili resumes zenu ziwe highly professional.
Hiyo signature yako inakuhusu sana!
Marital status some times ina chanagia kupata ama kutopata kazi (kwa baadhi ya sehemu lkn),binafsi nilishawahi kukosa kazi kwa sabababu tu sijaoa na ilikuwa ni International Orgaznization (ilikuwa ni ya Switzerland)
Ulikosa kazi sababu huyo recruiter alikuona huko serious hadi ukaweka marital status/hobbies kwenye resume yakoMarital status some times ina chanagia kupata ama kutopata kazi (kwa baadhi ya sehemu lkn),binafsi nilishawahi kukosa kazi kwa sabababu tu sijaoa na ilikuwa ni International Orgaznization (ilikuwa ni ya Switzerland)
Ulikosa kazi sababu huyo recruiter alikuona huko serious hadi ukaweka marital status/hobbies kwenye resume yakolMarital status some times ina chanagia kupata ama kutopata kazi (kwa baadhi ya sehemu lkn),binafsi nilishawahi kukosa kazi kwa sabababu tu sijaoa na ilikuwa ni International Orgaznization (ilikuwa ni ya Switzerland)
Siamini kama kweli unampenda mkeo utamshauri ujinga huo treatment ya mke wa mtu na single ni tofauti.Inawezekana hayo makampuni yana ukiritimba wa kuajiri walioolewa....hata kama mimi ningemshauri wife aondoe hicho kipengele kwenye CV ila kibaki moyoni mwake...Ni kama kufikiri pete ya ndoa inamchunga mke/mme, ni kujiloga mwenyewe.
Ulikosa kazi sababu huyo recruiter alikuona huko serious hadi ukaweka marital status/hobbies kwenye resume yakol
Hebu nieleze kwa utondoti jinsi ambavyo ndoa inavyochangia kupata ama kutopata kazi.
Na kwa nini wewe ulikosa kazi kwa sababu tu hukuwa hujaoa?
Ni kwamba ndoa ndo ilikuwa ni qualification ya hiyo nafasi uliyoiomba?
Ndoa ilikuwa inahusiana nini kiustadi, kiufahamu, kiutaalamu, kiutaaluma, na kiuweledi na hiyo nafasi uliyonyimwa wewe?
Kwa maneno mengine, ndoa ingekuwezeshaje wewe kuifanya hiyo kazi kwa ustadi wa hali ya juu kuliko mtu ambaye hakuwa kwenye ndoa?
Na kama ndoa ilikuwa ndo sifa kuu ama mojawapo ya sifa kuu walizokuwa wanazihitaji kwa hao waomba kazi, je, waliweka wazi hilo hitaji kwenye tangazo lao?
Kama waliweka wazi hilo hitaji, iweje wewe utume maombi huku ukijua kuwa hukidhi mojawapo ya sifa kuu wanazozitaka wao?
Ili wajue kama ni medical, itakava wangapi.... usijitoe akili banaa...
Kumpenda mke sio kupaza sauti ila ni matendo....Unapokuwa unamwamini mkeo huna haja ya kufikiria yatakayojiri na mwisho wa siku kazi haijatangazwa kutafuta single hivyo hilo la yeye kuwa marriage watalijua as days going on kwani kila atakayerusha ndoano na kupigwa kavu za uso ataenda kuwasimulia wengine. Mimi nampenda sana mke wangu na ndio maana sitopenda awe tegemezi wa aina yeyote ile.Siamini kama kweli unampenda mkeo utamshauri ujinga huo treatment ya mke wa mtu na single ni tofauti.
ThibitishaAsilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE.. Ukifundua mke wako ameandika yupo Single kwenye CV yake utachukuliaje hiyo?
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE.. Ukifundua mke wako ameandika yupo Single kwenye CV yake utachukuliaje hiyo?