CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
Duuuuuuu, hivi lukuvi kumbe ni kipusa kiasi hikiiiii!!! Ndiyo maana mambo hayaendi.
 
Uongo mtupu hiyo BA yake haioneshi ameisoma mwaka 2001 hadi lini! Huyo ni wa certificate za ki ccm tu kilaza
 
Ukifukuafukua cv za mawaziri wa ccm ,lita timka vumbi la vihio lazima likuletee aleji.
 

watu kama hawa wanakula tu ssm na si sehemu nyingine,lukuvi miaka miwili iliyopita cv yake inaonyesha hata sekondari hajawahi kwenda leo ana cv lundo lukuki,nna wasiwasi na uwezo wa wanyalu wenzangu wakufikiria kwa kuendelea kuwachagua watu wa namna hii.
 
Certificate ya Lukuvi ya wakati huo, ni bora kuliko hizo zenu unazonunua kwa wahadhiri na wengi wenu mkitoa tigo na wengine kuweka mguu upande. mmejaa na vyeti vikubwa huku kwenye utendaji mkiwa poor.
 
hatari sana hii,kusoma nako kwahitaji moyo wa ziada wa kujitolea,lione kwanza hovyoo..!
Unakwiba kwiba mi'cv sijui nani unamwongopea lukuvi zaid ya kujiongopea wewe mwenyewe..
 
Huyu jamaa kweli ni kilaza, afu hii CV imechakachuliwa, kwenye column ya education mbona wameweka miaka upande mmoja mmoja? wameweka ama mwaka wa kuanza masomo lakin wa kumaliza hakuna, au umewekwa mwaka wa kumaliza lakin wa kuanza hakuna......pua Lukuvi
 
Refer CV yake hivi kuna chuo huko Lindi kinatoa political certificates?
 
 

Ndiyo maana hana Confidence bungeni.... Mashaka matupu...
 
nilijua2, magamba hamna kitu kabisaa!tunaomba sasa CV ya Nchimbi...anae jiita Dr.
 
ndo maana huwa anaongea pumba tupu bungeni akitetea CCM
 
Source: WIKIPEDIA

.........................Degrees or other qualifications from unaccredited institutions may not be accepted by civil service or other employers...................


Bado viongozi wetu wanatuambia hawajui kwanini Tanzania ni masikini!!!!!!!!
 

........... Ni macho yangu au napepesa?....Hivi CV haina elimu ya msingi au ya sekondari? ..........
 
kweli kuna jamaa mmoja alitoa sifa zao wakadai watamshtaki ni mpaka leo bado alisema huyu jamaa ni mwl wa upe akapata kakozi huko urusi akabakia uvccm

nashawishika inawezekana vangimembe william ana fursa ya kugombea urais 2015. Unajua huyu jamaa hata kama kuna makosa ya wazi na kiufundi ktk hoja ya serkali atajitahidi aufiche huo udhaifu na kutoa propaganda kuonesha iko serkali makini katika maamuzi yake. Mchumia tumbo huyu hata wajukuu zake wanajuta kwanini aliwazaa wazazi wao. Nahisi alisomea propaganda zaidi na hapoa alipata a bila shaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ